The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Habari za usiku wanaJF
Naomba msinipige mawe please
Mimi ni binadamu na mapungufu ni kawaida sana ,inshort sijakamilika.
Nikiri tu nilipograduate nikaingia govt,baada ya mwaka nikapigiwa simu nirudi kunoa vijana.Nikaongea na boss wangu wa enzi hizo ambaye washamtumbua,akaniuliza unataka umaarufu ama hela?
I was young maskin nikamjibu hela akanambia achana nao.Tupige mzigo.Nikiri nimejifunza kazi proffessionaly kupitia yeye,sema tu ndo majanga haya ya dunia.
Anyway saivi naona kama nimestack nataka rudi nyumbani.Na kama mwezi tu watu 2 wazima wakubwa wamenambia rudi kule kanoe vijana.Nikawajibu ok ngoja nijipange.It's true am not happy with my current job.
Ndoto zangu zilikuwa kupata jiwe na kurudi kuwanoa vijana.Maisha tu yakafanya niwe nilipo.But am not happy ,kila leo nawaza kuacha kazi hadi najistukia.Sijisifii kwenye kunoa niko poa kuliko na gpa inasoma sema ndo sina uhakika.
So naombeni ushauri,vipi nirejee nyumbani?cause that's my true calling.and daily nagombana na boss wangu hadi nahisi niliingia chaka.Naombeni ushauri.Vp nirudi home ama nikomae?soma kukomaa ngumu boss ananikomalia kila leo anahisi nataka cheo chake. Nahisi anataka nipoteze ajira.So si bora nirudi nyumbani?Ushauri please.