IMPORT PROCESS!!

IMPORT PROCESS!!

kikore255

Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
39
Reaction score
18
Wakuu habari za leo ,poleni na mihangaiko ya kila siku .
Naomba mtu anaefahamu import process kwa hapa Tz ,Steges (A-Z) natanguliza shukrani (nikipata mtu ambae anafanya au alishawahi kufanya kazi hizi itakuwa powa sana)
 
Back
Top Bottom