Humu JF kumejaa mada nyingi sana kuhusu ushoga.
Kadri watu wanavyozidi kuuzungumzia ushoga ndio ushoga unazidi kuenea zaidi. Kila siku kila mtu awe ni kiongozi mkubwa, viongozi wa dini, wasanii na...
Salaam wakuu,
Naomba kujuzwa kwa anaefahamu hizi baji za bendera ya taifa letu zinazobanwa kwenye shati zinapatikana wapi na kwa utaratibu gani. Je ni kwa viongozi pekee au hata raia tunaweza...
Mzee.
Aggrey Mwanri kazi yake sasa inaonekana na itazaa matunda kwenye mkoa wake na naamini sasa Tabora , Mboka itabadilika kwa kasi ya huyu jamaa anavokimbiza.
Siyo maneno yangu bali ni ' Utafiti ' uliotukuka kabisa wa Kisaikolojia. Kuna Watu nimeanza kuwaangalia katika Mitandao yao mbalimbali na maeneo mengine walivyoweka picha zao na kila mara wanaweka...
Dar es Salaam. Mke wa marehemu bilionea, Erasto Msuya, Miriam Mrita ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuunda tume kuichunguza kwa kina kesi ya mauaji inayomkabili akidai kuna uonevu...
Hili ni swali fikirishi
Iwapo utagundua ndugu yako wa karibu,ni shoga je utaachukua hatua gani?Iwapo utajigundua kuwa wewe mwenyewe ni Homosexual utachukua hatua gani?
Kuna wanaopiga vita ushoga...
Majina ya vidole vya mkono:
1 Kidole gumba, 2 Kidole cha shahada,
3 Kidole kirefu, 4 Kidole cha pete, 5 Kidole cha mwisho
Kidole cha kati cha kando (pia: kidole cha pete) ni kidole cha nne...
Kama kuna kosa ambalo wengi wamelifanya nipale mnapo tangaza nafasi za kazi na ajira kwa wananchi na kulazimika kuleta barua kopi za vyeti na utambulisho wao,halafu mwisho wa siku hamuwaajiri wala...
Tuna sheria, tuna viongozi, tuna vyombo vya dola. Pamoja na wananchi kuwekeza kwenye vyote hivi (kupitia kodi zao) kwanini tusubiri mpaka Mhe. Rais Magufuli apige kelele ndio tutimize wajibu wetu...
Waungwana sijui kama nitaeleweka ila nitajitahidi nieleweke hata nisipoeleweka sasa naamini kila mtu atanielewa huko mbeleni kadri Mungu atakavyomfungulia.
Watanzania tumewatenga mashoga...
Jf.... Hope mko fine
Ukiwa wewe ni mwana Jf swali hili linakuhusu, Tafadhali toa maoni yako
Je ni kweli ngozi nyeusi akili zetu ni ndogo ukilinganisha na wazungu? ??
Ikiwa ndio au hapana toa...
Aisee mm nawaza tu kuna kipindi tuliambiwa gesi sijui inasafirishwa toka ntwara sijui hadi wapi,(hii gesi ni mradi uliogarimu mabilioni kama sikosei sasa inatusaidiaje kwenye umeme wakati bei ni...
Kipindi hiki tumesikia viongozi wetu wakihangaika na utovu wa nidhamu kwa watu wanaotenda mambo tofauti na utaratibu. Hakika kile wanachopambana nacho - wako sahihi.
Lakini binafsi naona juhudi...
Nyie watu wa Voda ,. Samahani mnaweza kuondoa hii mnaita tuzo point kwenye simu yangu ????
Naona usumbufu mkubwa Sana na sioni faida yake.
Kwa kweli Ni kero kubwa Sana kwangu .
Tafadhalini...
Nimekua nikifanya shuguli za udalali wa nyumba, magari, viwanja nk kwa mda sasa hasa kwa kutangaza hapa JF, Zoom, Instagram na kwingine, Kila kazi ina changamoto zake.
Leo nimeamua niongelee...
habari wadau..
najua wale wapenzi wa news wanajua seke seke la mwandishi kashogi aliyeuwawa kwenye ubalozi wa saudi arabia uliopo uturuki..
wauaji wote 15 ni wafanyakazi wa usalama wa taifa wa...
Biblia na Korani ni vitabu vitakatifu lakini wakati mwingine ni chanzo cha chuki, mifarakano na machafuko duniani kote.
Mmesikia yaliyotokea Pakistan wiki hii ambapo kuachiwa huru kwa Asia Bibi...
Time is coming when being gay will be considered classy and trendy and fashionable.
With the current publicity and approach that time will be soon and believe me you.Some straight people will be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.