Ushoga ni Shambulizi La Akili. Tuelewe.

Ushoga ni Shambulizi La Akili. Tuelewe.

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,903
Reaction score
3,139
Habarini wana Jamvi.

Kama ilivyokuwa kwa Jamii za magharibi, karne ya 20, Ushoga umekuwa ni janga katika karne ya 21 barani Africa. Nimeta Janga kwa namna jamii nyingi za bara hili wanavyotafsiri ushoga, japo ushahidi juu ya machukizo katika jamii nyingi, kama baadhi ya waandishi wa Biblia walivyoeleza kuwa chukizo kwa MUNGU (Sina uhakika na Maandiko ya Quran Tukufu, ila kwa kuwa MUNGU ni yule yule basi hali ni moja pande zote)

Katika maandiko niliyopitia katika makusanyo ya Biblia, sikuwahi kuelewa wapi na nini ilikuwa ni sababu ya ushoga Sodoma nikaja kuhitimisha kama ukomavu tuu wa dhambi (Labda kwa kuwa si msomaji sana) na moto kama adhabu kutoka kwa MUNGU ilionesha wazi kuwa jambo hili ni chukizo.

TUHAME MAANDIKO!

Hivi karibuni serikali za magharibi zimetoa jitihada za kusawazisha haki za kibinadamu kwa kile mmoja, ambapo moja za haki hizo ni ushoga, Jambo ambalo limejenga uhasama na jamii nyingi za kiafrika ikiwemo hapa kwetu. Mamlakha imekuwa ikisimama kidete kupambana na janga hili, lakini mwisho wa yote imeishia kuwadhaaririsha tuu kwa kuwa weka wazi bila hatua zozote toka kwa mamlakha ya usimamizi wa sheria (Mahakama).

USHAURI KWA MAMLAKHA: Katika jitihada zote hizo zisizozaa matokeo chanya, yatupasa kutambua kwamba
  1. Mashoga ni binadamu kama, tu/walivyo wengine; nao walitoka katika viuno na matumbo ya wazai wawili, hivyo ni suala la kutambua ubinadamu wao, na mahitaji yao kama binadamu. Binadamu huitaji kusaidiwa kwenye shida yoyote bila kutengwa na kunyanyaswa (Kwa haki)
  2. Mashoga ni watoto, ndugu, jamaa, rafiki na jirani zetu. Kwa kutambua hili tutaweza kuwasaidia kwa namna yoyote iwezekanayo.
  3. Ushoga ni kosa la kimalezi. Wazazi na jamii tukubali makosa yetu, tujirekebishe bila kuadhibu na kudharirisha waliopo, kwa kudharirisha na kukebehi "Shoga" maana yake tumekubali makosa yetu kimalezi na kuyababa kwa kuyaendekeza
  4. Ushoga ni shambulizi la akili. Tuelewe. Katika mengi tunayofahamu kuhusu ushoga, huu pia ni ugonjwa wa akili, kuna mgonjwa wa akili (Mental illness) hupona kwa kudharirishwa? Kukebehiwa?
  5. Ushoga ni zao la utandawazi: Kukua kwa sayansi na teknolojia kumeambatana na majanga mengi ya kiutamaduni, taratibu watu hojongea nje ya mstari na kupoteza thamani ya utu wao. Hamuoni namna watoto wetu wanavyojikweza wakiwa wadogo kwa kuiga "Idols" ndani na nje ya nchi?
kwa kuyatambua hayo, ndipo tutafahamu kwamba NJIA YA KUWASAIDIA MASHOGA SI KUWATENGA, KUWANYANYASA, KUKASHIFU wala KUWADHARIRISHA.

Jitihada za viongozi kama mkuu wa mkoa, zilenge katika uboreshaji wa malezi, na si ku deal na mashoga waliopo sasa. Malezi/sababu zinazochangia ushoga ni.

  1. Kulelewa na mzazi mmoja, hasa mama. Mtoto (Wa kiume) mwenye malezi ya mama huendana na namna mama anavyoishi, ku ambatana na rafiki/jamaa na majirani wa mzazi wake (Ambao wengi huwa wanawake) humvisha taswira mtoto (Me) kuona ni kawaida kuishi katika ulimwengu wa wanawake, jambo linalomuathiri akili yake kushindwa kufanya upya akili yake kuvika ulimwengu kuime. NOTE: Si kila mlelewa wa mzazi mmoja huathirika
  2. Utandawazi na nguvu/Ushawishi wa Media: Televisheni na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Watu maarufu wamekuwa ni vioo vinavyotazamwa sana, katika kazi zao media huwa na nguvu ya kuwaweka pamoja na jamii. Utanashati umekuwa ni sehemu ya maisha yao, lakini utanashati uliopitiliza (Utanashati wa UshindanI) Umewaweka watu mashuhuri (ME) KARIBU KABISA NA ULIMENGU WA WANAWAKE hivyo wafuasi wao huambatana nao pamoja katika ulimwengu huo Mf; Tafsiri ya utanashati kwa watu mashuhuri (ME) umefikia kiwango cha KUNYOA NYUSI, KUVAA MAVAZI YENYE MTAZAMO WA KIKE, KUPAKA LIPSTICK, KUVAA HELENI, KUREMBUA, KUTENGENEZA MWILI, KUSUKA ETC.
  3. Umaskini; Hili pia hufanya mtu kuingia katika biashara ya ushoga ili kujipatia kipato kwa ajili ya kujikwamua rejea
  4. Mazingira na rika: kundi ambalo mtoto/kijana huambana nalo ndilo linakuwa na msukumo katika kumbadili mototo kisaikolojia, pindi anapoongozana na watoto wengi wa jinsia (Ke) hali huwa hivyo kwake, kwa kupenda utamaduni na maisha yao kwa ujumla. Jamii ambazo watoto wao hulelewa katika mazingira ya kisasa, yapo hatarini kutengeneza watu wengi wa namna hii..
  5. Msongo na "Depression" pia huchangia kuwa hivi: Wengine wana historia ya kuathiriwa na kukosa tafsiri ya mahusiano ya kimapenzi.

Hivyo basi, katika machache niliyo nayo, shauri yangu kuu ni kuwekeza katika malezi ya watoto/vijana kwa mtindo wa jinsia "Rearing in sex lines" tusione kila kitu ni kawaida kama kikifanywa na mtoto wa jinsi fulani, kwa sababu ya utoto wake au kwa sababu ya maendeleo.

TUKUMBUKE: Tafsiri ya maendeleo barani Africa ni kuishi utamaduni wa magharibi, jambo ambalo si maendeleo. Tuendane na utamaduni wetu na namna yetu kiutandawazi.
 
Umeeleza vizuri,
Kuna pointi moja kila mmoja anatakiwa kuchukua hatua. Issue ya malezi.

Wale wanaume wa kupiga mimba na kukataa....unamuacha mtoto alelewe na single mother..unategemea hyo mtoto atakuwa mwanaume kweli kweli?
Tujirekebishe aisee.

Ukipiga mimba binti wa watu it is better uoe tu maana ni obvious kuwa mwanamke aliyezaa ni nadra kuolewa.

ASANTENI
 
Hapo kwenye point ya ukuaji wa teknolojia na athari za utandawazi umeelea vema..picha za ngono hizi tunaita X ni chanzo kikubwa sana
 
Mungu mwenye huruma aliwachoma moto mashoga wa pale mitaa ya sodoma bila huruma,kisha akamwagiza Musa mashoga wote wauawe,sasa kama Mungu anawachukulia mashoga serious namna hii kwanini sisi tuwaache bila kuwapa adhabu?
Je sisi tunahuruma kuliko Mungu?
Mambo ya kwamba tuwashauri na kuwapa elimu mashoga sio solution maana haya yote yanafanywa bila mafanikio
Waambie mashoga tunawatafuta na adhabu iko palepale bila kujali ni wapumbavu wangapi wanawatetea.
 
Mungu mwenye huruma aliwachoma moto mashoga wa pale mitaa ya sodoma bila huruma,kisha akamwagiza Musa mashoga wote wauawe,sasa kama Mungu anawachukulia mashoga serious namna hii kwanini sisi tuwaache bila kuwapa adhabu?
Je sisi tunahuruma kuliko Mungu?
Mambo ya kwamba tuwashauri na kuwapa elimu mashoga sio solution maana haya yote yanafanywa bila mafanikio
Waambie mashoga tunawatafuta na adhabu iko palepale bila kujali ni wapumbavu wangapi wanawatetea.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom