Mtangazji wa kipindi cha Take One cha Clouds Tv amefunguka na kusema hajutii kitendo kitendo cha yeye kumhoji shoga kwenye television na kusababisha 'outrage' kutoka kwa wadau mbalimbali mtandaoni...
Well said Lema katika press yake leo.
1. Thamani ya binadamu haipimwi na wingi wa vifo iundwe Tume huru kuchunguza mauaji Uvinza, viongozi wa dini na taasisi na mashirika mpo wapi!?# Free Zitto...
Msaada kwa wale wateja na watumiaji wa king'amuzi cha Dstv…
Naomba kuulizia kuhusu tofauti ya channels za bundle la 19,000 na lile la 36,000… je kuna channels za move zinazoongezwa kwenye bundle...
Kwa muda sasa viongozi wa vyama vya upinzani wamekuwa wakikamatwa na polisi na kuwekwa rumande kutokana na tuhuma mbalimbali. Na bila ya shaka hata sasa wengi wao wana kesi kadhaa...
Za chini chini kabisa nilizozinyaka ni kwamba kumbe hata Uongozi wa hiyo Media ulishaambiwa kuwa umuondoe katika Kipindi chao cha Asubuhi kwani amekuwa ' akiwasema ' vibaya na ' akiwadhihaki ' mno...
Hivi kwanini Tigo Fiesta huwa inafanyika Bukoba mjini na Muleba.Hii inapelekea Kagera kuwa mkoa pekee ambao hili tamasha ufanyika mara mbili ndani ya mkoa mmoja.
Kulikoni wana Kagera mnapenda...
Kiwanda kimoja nchini China kimezindua bia iitwayo "Fresh Mind beer" ambayo unakunywa na kulewa masaa matano baadae!
Meneja wa Kiwanda hicho kilichopo Ghuanzou amesema bia hiyo ni matokeo ya...
HATUA 11 ZINAZOTUMIKA
Kwa mujibu wa chanzo chetu chenye uzoefu wa maziko ya marehemu kwa njia ya kuchomamoto miili (cremation), kuna hatua kama 11 mpaka kumaliza zoezi la kuchoma mwili moto...
Aliyekuwa mtangazaji mkongwe wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi,Mugana.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya...
Habari zenu wakuu wa humu ndani?
Hope wote mpo njema wengine mliopo wagonjwa mungu awafanyie wepesi
Daaaa leo nimekaa nkaona niwaletee huu Uzi wa jinsi the way watu tunavyorukwa na akili wakati...
Habari za jioni wana forum.
leo ningependa tusimuliane machache kuhusu safari na ugumu wake.
kuna mwaka nilienda katika harakati za kutafuta rizki mkoani hapo.
Nilienda lkn mambo hayakuwa kama...
Habari zenu ndugu zangu..Naomba ushauri,Mawazo,Msaada wa namna ya kupata ufadhili wa masomo...Nimepata admission ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa fani ya Master of Business...
Ngoja nitie neno kidogo hapa japo siyo moja kati ya mada ninazopendelea sana kuzipost hapa jukwaani kutokana na mahudhurio hafifu ya wachangiaji kwa kutokuwa interest sana na mambo muhimu kama...
Ni ukweli kabisa ccm haina mpango na michezo nchi hii japo ni eneo linaloweza kuwapa ajira vijana wengi na kupunguza tatizo la umaskini Tanzania [emoji1241]
Nasema hivi kwa sababu gani viwanja...
Ili kuepuka usumbufu na gharama zisizo za lazima Fanya yafuatayo kabla ya kwenda makao makuu ya Uhamiaji Kurasini Dar
1.Toa kopi ya vyeti/vitambulisho vyako kabisa kama kuna uhitaji wa kufanya...
Habarini wakuuu.
Moja kwa moja kwenye mada bila ya kupoteza wakati.
Ndugu wana great thinkers....naamini humu Kuna watu wenye mawazo tofauti tofauti. Nami nakuja kwenu nikiomba ushauri wenu wa...
Zamani na sasa watoto waomaliza form four wanajaza
shule za dar
Vyuo vya dar
Wakimaliza shule likizo wote wanataman kwenda dar .....yani kila mtu huko mikoani anataka dar
kuna vijana wenzetu...
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Charles Abel (24) Mkazi wa kijiji cha Usagara Mkoani Mwanza, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, kwa makosa mawili ya kubaka na kumpa mimba mwanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.