Yanayonikera kwenye daladala

Yanayonikera kwenye daladala

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Mtu upo kwenye daladala asubuhi unaongea na simu safari nzima tena kwa sauti ilihali we mtu mzima, abiria wote wapo kimya kusikiliza maongezi ya kupatanisha familia zenu huo ni upuuzi!! kwanini usimwambie utampigia ukishuka???.

Unapigaje video call kwenye daladala??

Tupo kwenye daladala unaongea na shoga yako (wadada) au rafiki yako mnaongea lafudhi za kimbea wakati watu tuna stress zetu mnaboa sana!!

Kwenye chombo cha usafiri wa umma unanunua mahindi, machungwa, mapera, klips unakula hadharani huo sio ustaarabu hasa mchana na kuna wanafunzi wamesimama wananjaa wanakutazama.

Lisimu lako la kichina lina mlio mbayaaaaa halafu unapigiwa mara kibao hupokei watu wote tunageuka kukutazama unakausha tunakerwa na ringtone ya lisimu lako.

Nawasilisha, ongeza lako.......
 
Kwenye chombo cha usafiri wa umma unanunua mahindi, machungwa, mapera, klips unakula hadharani huo sio ustaarabu hasa mchana na kuna wanafunzi wamesimama wananjaa wanakutazama.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Wanaojamba nao ni kero,
wanaodindisha na kujibana mogongoni mwa abilia waliosimama nao ni kero
wanaojitia wanasinzia na kuangushia mkono kwene sehemu za siri za mwanaume na kukuamushia hisia nao ni kero
DUH!
Hii ya mwisho ni hatari sana
 
Wanaojamba nao ni kero,
wanaodindisha na kujibana mogongoni mwa abilia waliosimama nao ni kero
wanaojitia wanasinzia na kuangushia mkono kwene sehemu za siri za mwanaume na kukuamushia hisia nao ni kero
😀😀😀😀😀 huu uzi mtaniua mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Dereva kupiga nyimbo nisizozipenda inakera hasa zile za kuhuzunisha huzunisha sizipend kabisa!!
Dereva wa Daladala unapiga nyimbo za dini fulani na abiria ni wa dini mchanganyiko hii nayo kero........

kaswida au kwaya
 
Bora kwaya au kaswida...mtu anakuwekea nyimbo za majonzi halafu kafunga zile sabufa za kichina hata uweke earphone saut inapenya tu mpaka kumoyo unabaki tu unatiatia huruma
 
😛😛😛😛😛
 
napenda daladala kwa sabau kuna ya mademu wakali hasa za makumbusho na za segerea...changamoto ni kukanyagana majibu ya ovyo sio abiria sio ko♡da wote wanamajibu ya shombo!!
 
Panda za chuo uone totoz za ud
 
napenda daladala kwa sabau kuna ya mademu wakali hasa za makumbusho na za segerea...changamoto ni kukanyagana majibu ya ovyo sio abiria sio ko♡da wote wanamajibu ya shombo!!
KUOMBA NAMBA KWA SAUTI NAYO KERO
KUTONGOZA KWA SAUTI KWENYE DALADALA UNABOA NDOMANA WANAWAJIBU SHOBO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom