BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,348
- 1,466
Hivi Muongozo wa katiba hapa ukoje? Je watu hawa wanaruhusiwa kuishi kama raia wa Tanzania baada ya gender reassignment surgery? Je wanaruhusiwa kupata vyeti vya ndoa?
NB: Mimi ni conservative. Hili suali ni kuhusu curiosity tu.
NB: Mimi ni conservative. Hili suali ni kuhusu curiosity tu.