Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAELEZO YA NYOTA YA SIMBA LEO Hii ni nyota ya Tano katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya Tarehe 23 Julai na 22 Agosti au wenye majina yalio anza na herufi E na Q...
0 Reactions
8 Replies
34K Views
Ni kwamba.... Kama Wewe umekuwa ni Mtu wa kuangalia sana aina ya Majengo na Madaraja marefu kabisa yaliyopo nchini China huku Wafanyakazi wengine wakiwa juu ya Milima mirefu na hatari wakiwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hawa ndio vijana wenye umri mdogo waliofanya mambo makubwa kuzidi umri wao.. 1.Dkt Salim.A.Salim Huyu bwana akiwa na miaka 19 alikuwa chief au mwakilishi wa zanzibar nchini Cuba..alivyofikisha...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
1. JPM wa kwenye Kampeni na JPM wa Magogoni, hawa siku ikitokea wakakutana hakuna wa kuamua huu ugomvi. 2. Kitila wa ACT na Kitila wa Wizara ya Maji, hawa watu wana ugomvi mkubwa sana. 3. Polepole...
13 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wana Jf? Kuna professionals wanafanya kazi kwenye private sectors ambazo ni "Profit seekers" na ni taasisi au makampuni makubwa tu. Lakini waajiriwa wao ambao si vibarua bali ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natumah hamjambo wanajamvi! Leo nikiwa kwenye pita pita zangu nimefika Wilaya ya Magu,ni kama mwendo wa dakika tano kutoka kituo kikuu cha polisi wilaya ya Magu kuna sehemu nmekuta magodawn mengi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukiwa Moshi Mjini usipende kukaa chini ya miti , kuna nyoka wengi sana wa kijani. Hata gari usipende kupack chini ya miti au kuacha vioo wazi. Nyoka wa kijani ni wajinga sana. Wanapenda sana...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
Ili ufanikiwe katika maisha, biashara, Sanaa, michezo, na vingine vingi Fanya yafuatayo;_ 1. Fanya unachofikiria kifanyie kazi kilichopo kichwani mwako. 2. Fanya walivyo shidwa wenzako usifanye...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Abdul Nondo alisimamishwa chuo kwa sababu tu alifunguliwa mashtaka na waliomsimamisha naamini wapo maprofesa na Drs na ambao wanazalisha wataalamu mbalimbali na kufundisha sheria na masomo...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Haina haja ya kuumiza kichwa sana kwani mwisho wa watu wanaopenda vitu vilivyoko nje ya uwezo wao huishia pabaya. Watu wanaopenda umaarufu wasiouweza, utajiri/mali, nafasi za kazi n.k ndio huishia...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
...........................
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Kwanza tutambue kuna utofauti kati ya tabia za wanaopenda kufanya Mapenzi ya jinsia moja(homosexual) na wanaofanya Mapenzi ya jinsia mbili (Heterosexual). Tabia na matendo wakati wa kujamiiana...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Jana nlienda kijiwe kimoja hivi cha drafti, wengi walinichukulia poa ila nikawashinda watu watatu pale, ndipo kuna mpuuzi asie na breki ya maneno akaja akijitapa simuwezi Tumecheza game likafikia...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Nianze kwa kughuna: Hivi huyu binti amepata wapi ujasiri wa kufanya hivi ila inategemea na vitu anavotumia. Tunaishi zama tofauti sana.Zama ambazo sheria tu,haitoshi kusimamia maadili Tunaishi...
4 Reactions
46 Replies
8K Views
habari wanaJF!! Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kwanini Shirika la utangazaji TBC halianzishi channel inayo jitegemea itakayo kuwa inahusu WILD ANIMALS wa hapa Tanzania. Kama imeweza...
21 Reactions
134 Replies
8K Views
Kwanini tujisumbue kuwinda,wakati uwezo wa kupora kibabe tunao. On top of the food chain.proud to be a masai.
0 Reactions
5 Replies
802 Views
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Daniel Chongolo ameagiza polisi kata ya Kijitonyama kuwakamata wanaume wanaonunua machangudoa. Chongolo ametoa agizo hilo leo Jumanne Novemba 6...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Mvutano uliodumu kwa miezi saba baina ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) na kusababisha mabasi 70 mapya kukwama katika Bandari ya Dar...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Hakuna taifa lenye watu wanafiki duniani kama Marekani Hakuna taifa Gaidi duniani kama Marekani Hakuna taifa katili duniani kama Marekani. Kimsingi hata ningepewa mabilioni ya dola...
4 Reactions
114 Replies
8K Views
Wasalam, kuna taarifa kwamba baadhi ya mashoga wamedhamiria kutaja hadharani majina ya wanaume wanaotoka nao kimapenzi endapo watakamatwa na kuhojiwa. Inaelezwa kwamba wamo vigogo wazito kutoka...
3 Reactions
70 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…