Unataka kuniambia mie mmasai wa dar siwezi fanya hii kitu.by the way natafuta watu wawili tutimie watatu twende mbugani tukatesti hii kitu.Ila yataka moyo aisee,unaona simba 15 wanapiga menyu alafu mnawafuata mkiwa watatu tu.wazungu wanaita balls of steel.Wanaume wa mikoani hao
For the fact ukiishi dar hata ukiwa mkurya something must go wrongUnataka kuniambia mie mmasai wa dar siwezi fanya hii kitu.by the way natafuta watu wawili tutimie watatu twende mbugani tukatesti hii kitu.Ila yataka moyo aisee,unaona simba 15 wanapiga menyu alafu mnawafuata mkiwa watatu tu.wazungu wanaita balls of steel.
Achana na wanaume wa dar.Tujadili kilichopo kwenye video.wewe wa mkoani unaweza kufanya kama jamaa walivyofanya.na unahisi kwanini simba walikimbiaCheki wenzenu! Panya anaweza kuingia ndani akafanya anavyojisikia kisha akaondoka zake salama salmini akiwaacha mavi yanagonga chupi. Hata mende anaweza kuwahamisha kwenye nyumba.View attachment 923853View attachment 923858