Tetesi: Mashoga jijini Dar wajianda kutaja majina ya wateja wao; wamo vigogo wazito.

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,474
2,649
Wasalam, kuna taarifa kwamba baadhi ya mashoga wamedhamiria kutaja hadharani majina ya wanaume wanaotoka nao kimapenzi endapo watakamatwa na kuhojiwa. Inaelezwa kwamba wamo vigogo wazito kutoka secta binafsi, serikalini na baadhi ya taasisi za kidini.

Naona kama picha ndo linaanza zijajua mwisho tuendelee kuangalia.
 
You have your opinion- I have mine, I see you as
ignorant as you see racist people and as ignorant as
you see those who dislike or hate gay people.
 
...the other side of the coin.... OIL CHafu ==OIL SAFI ...KONKI konkiii master
 
Kilichokuwa kinatafutwa kimepatikani kazi ipo
watanzania tufunge mikanda awamu hii ni ya maigizo tu
 
Mirungi/bangi bila wanunuzi (watumiaji) ni sawa na gugu lisilo na thamani shambani.

Na mziki bila promoters haufiki mbali.

Watajwe tu........ ,hakuna namna
 
Hii vita tangu aliposimamishwa yule MPAPAI DUME james chakula mahakamani na akasomewa mashtaka kukiwa hakuna la ushoga zaidi ya yale ya kuruka sarakasi.

Huu ufirauni ni mkubwa mno, ile kesi nimeanza kuhisi kuna watu wanamlinda ndiyo maana hilo shtaka limepogwa danadana hivi sasa.

Ukiongezea hilo tamko la wizara ndiyo kabisa nikaanza kuweka tiki kinachoendelea ni kulindwa hiyo MIPAPAI DUME
 
Back
Top Bottom