Sitashangaa Abdul Nondo akikataliwa kurejea chuoni

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Abdul Nondo alisimamishwa chuo kwa sababu tu alifunguliwa mashtaka na waliomsimamisha naamini wapo maprofesa na Drs na ambao wanazalisha wataalamu mbalimbali na kufundisha sheria na masomo mbalimbali ya utawala.

Leo mahakama imesema wazi hana hatia na kwa tafsiri nyingine alishahukumiwa na chuo kikuu Cha Dar es salaam kabla hata ya kusikilizwa, Je, ipo wapi haki?

Sitoshangaa kusikia hata haki zake za chuo zinavurugwa nakucheleweshwa na wale wale waliomtia hatiani kinyume Cha sheria na taratibu za chuo.
 
Sidhani km wanamfanyia hivyo, maana dogo atafeli
 
Sheria za chuo zipo wazi, ukiwa na any criminal case, unavuliwa uanachuo mpaka utakapokuwa cleared, then unaendelea na masomo yako pale ulipoishia..
 
Kwa tafsiri nyepesi unataka kusema nikamua wewe usimalize chuo nikukutengenezea jinai tu ili usimamishwe? Kama tunatengeneza wasomi kwa sheria na kanuni hizi basi bora msingesoma....tuhuma inakusimamisha chuo kweli?
 
sio anataka kusema, ni sheria inasema.
 
Kwa tafsiri nyepesi unataka kusema nikamua wewe usimalize chuo nikukutengenezea jinai tu ili usimamishwe? Kama tunatengeneza wasomi kwa sheria na kanuni hizi basi bora msingesoma....tuhuma inakusimamisha chuo kweli?
Yah, kama una bifu na mwanafunzi mfungulie tu kesi.
 
Abdul Nondo alisimamishwa chuo kwa sababu tu alifunguliwa mashtaka na waliomsimamisha naamini wapo maprofesa na Drs na ambao wanazalisha wataalamu mbalimbali na kufundisha sheria na masomo mbalimbali ya utawala.

Leo mahakama imesema wazi hana hatia na kwa tafsiri nyingine alishahukumiwa na chuo kikuu Cha Dar es salaam kabla hata ya kusikilizwa, Je, ipo wapi haki?

Sitoshangaa kusikia hata haki zake za chuo zinavurugwa nakucheleweshwa na wale wale waliomtia hatiani kinyume Cha sheria na taratibu za chuo.
Aangalie uwezekano wa kusoma nje ya Nchi asikubali mtego wa kurejeshwa Udsm ata-Disco kwa maelekezo toka juu Nchi ishaharibika
 
Anaeza akarudishwa then aka disco, hii bonGo haieleweki siku hizi
 
Kweli Nimeona Faida na ku Prove Yale ya C.MONTESQ
 
Nadhani ataruhusiwa kuendelea na masomo kulingana na sheria za chuo

Ila hizi by laws za vyuo hazipo sawa kabisa kumsimamisha masomo mwanafunzi kwa shutuma ni kama kumpa adhabu kwa kosa ambalo pengine hakulitenda
 
Pia chuo kimeangalia na upande wa mwanafunzi, akiwa na criminal case concentration yake haitakuwa sawa, atashindwa kumudu masomo, mwisho atadisco.. Ndio maana anapewa muda ashughulikie matatizo yake, ndio arudi shule.
 
Back
Top Bottom