Wabaya hawana amani

Wabaya hawana amani

Dinnah

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
791
Reaction score
1,062
Habari zenu wakuu.
Tujifunze kwa kifupi juu ya kichwa cha somo hapo juu

Kwanza inatupasa tujue ya kwamba yesu kristo ni Amani

Na tunapozungumzia wabaya ni wale wanaofanya mambo yasiyo mpendeza Mungu

Na mambo yasiyo mpendeza Mungu ni kuto kutii sheria na amri zake

Somo linatoka katika kitabu cha Isaya 57:19-21

19Mimi nayaumba matunda ya midomo ;Amani Amani,kwake yeye aliye mbali,na kwake yeye aliye karibu asema BWANA;nami nitamponya.20Bali wabaya wanafanana na bahari iliyo chafuka;maana haiwezi kutulia,na maji yake hutoa tope na takataka.
21Hapana Amani kwa wabaya;asema Mungu wangu.

Yesu kristo alikuja kuleta Amani,bila Yesu hakuna Amani ya kweli,bila yesu ni
Mafarakano
Hakuna tumaini
Uadui
Kudanganyana n.k

Waefeso 2:12-17

12Kwamba zamani zile mlikuwa Hamna kristo ,mmefarakana na jamii ya Israel,wageni wasio wa maagano ya ahadi ile.mlikuwa Hamna tumaini,Hamna Mungu duniani
13 lakini sasa,katika kristo Yesu,ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu yake kristo, 14kwa maana yeye ndiye Amani yetu,aliye tufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja;akakibomoa kiambaza cha kati kilicho tutenga.

Maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" mithali 9:10

Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima,na kumjua mtakatifu ni ufahamu

Mambo madogo tunayofikiri hayana maana ndiyo yatakayo tufikisha mbinguni

Jiulize
Je? Una ongea na familia yako vizuri?
Una Amani?
Maandiko yanasema Enendeni mkaitafute Amani kwa watu wote,hapa tunaona jinsi Mungu wetu asivyo na upendeleo
biblia haijasema mkatafute Amani
Kwa
.mnaowajua
.walokole
.watu wa kanisani kwako
Ila imesema mkaitafute amani kwa watu wote haijalishi vyeo vyao,kabila lao,haijalishi dini wala jinsia.

Kwanini uwe chanzo cha ugomvi
Kazini kwako
Ndani ya familia

Yakobo 3:18
Na tunda la haki hupandwa katika Amani na wale wafanyao Amani.

Pasipo Amani utaomba maombi yako hayatajibiwa
Mf
Umegombana na familia,mkeo hamuongei,watoto wakikuona wanatetemeka,kazini umegombana na wafanyakazi wenzako

Mungu hawezi kuachilia baraka zake juu yako hata ukeshe ukiomba,wala utajiri hautakuja pasipo Amani

Palipo na yesu na Amani Mungu huachilia baraka,uponyaji,utajiri,haki n.k
Haki ya Mungu hupandwa juu ya Amani
Penye msamaha pana Amani
Penye ugomvi,hasira,mafarakano hapana Amani.

Isaya 11:4
Bali kwa haki atawahukumu maskini,naye atawaonya wanyenyekevu wa dunia kwa adili;naye ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake,na kwa pumzi ya midomo yake atawaua wabaya.

UKIKOSA AMANI MRUDIE MUNGU.

Mbarikiwe.
 
Nimelipenda hili andiko linalosema "Hapana amani kwa mtu mbaya, Maisha ya wabaya ni kama bahari iliyochafuka, hawawezi kutulia na maji yake hutoa tope na takataka"....

Ngoja nikasimamie hili andiko nimnyooshe jamaa mmoja mwanga sana hapa mtaani.
 
Amina

Ubarikiwe mkuu.
 
Habari zenu wakuu.
Tujifunze kwa kifupi juu ya kichwa cha somo hapo juu

Kwanza inatupasa tujue ya kwamba yesu kristo ni Amani

Na tunapozungumzia wabaya ni wale wanaofanya mambo yasiyo mpendeza Mungu

Na mambo yasiyo mpendeza Mungu ni kuto kutii sheria na amri zake

Somo linatoka katika kitabu cha Isaya 57:19-21

19Mimi nayaumba matunda ya midomo ;Amani Amani,kwake yeye aliye mbali,na kwake yeye aliye karibu asema BWANA;nami nitamponya.20Bali wabaya wanafanana na bahari iliyo chafuka;maana haiwezi kutulia,na maji yake hutoa tope na takataka.
21Hapana Amani kwa wabaya;asema Mungu wangu.

Yesu kristo alikuja kuleta Amani,bila Yesu hakuna Amani ya kweli,bila yesu ni
Mafarakano
Hakuna tumaini
Uadui
Kudanganyana n.k

Waefeso 2:12-17

12Kwamba zamani zile mlikuwa Hamna kristo ,mmefarakana na jamii ya Israel,wageni wasio wa maagano ya ahadi ile.mlikuwa Hamna tumaini,Hamna Mungu duniani
13 lakini sasa,katika kristo Yesu,ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu yake kristo, 14kwa maana yeye ndiye Amani yetu,aliye tufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja;akakibomoa kiambaza cha kati kilicho tutenga.

Maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" mithali 9:10

Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima,na kumjua mtakatifu ni ufahamu

Mambo madogo tunayofikiri hayana maana ndiyo yatakayo tufikisha mbinguni

Jiulize
Je? Una ongea na familia yako vizuri?
Una Amani?
Maandiko yanasema Enendeni mkaitafute Amani kwa watu wote,hapa tunaona jinsi Mungu wetu asivyo na upendeleo
biblia haijasema mkatafute Amani
Kwa
.mnaowajua
.walokole
.watu wa kanisani kwako
Ila imesema mkaitafute amani kwa watu wote haijalishi vyeo vyao,kabila lao,haijalishi dini wala jinsia.

Kwanini uwe chanzo cha ugomvi
Kazini kwako
Ndani ya familia

Yakobo 3:18
Na tunda la haki hupandwa katika Amani na wale wafanyao Amani.

Pasipo Amani utaomba maombi yako hayatajibiwa
Mf
Umegombana na familia,mkeo hamuongei,watoto wakikuona wanatetemeka,kazini umegombana na wafanyakazi wenzako

Mungu hawezi kuachilia baraka zake juu yako hata ukeshe ukiomba,wala utajiri hautakuja pasipo Amani

Palipo na yesu na Amani Mungu huachilia baraka,uponyaji,utajiri,haki n.k
Haki ya Mungu hupandwa juu ya Amani
Penye msamaha pana Amani
Penye ugomvi,hasira,mafarakano hapana Amani.

Isaya 11:4
Bali kwa haki atawahukumu maskini,naye atawaonya wanyenyekevu wa dunia kwa adili;naye ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake,na kwa pumzi ya midomo yake atawaua wabaya.

UKIKOSA AMANI MRUDIE MUNGU.

Mbarikiwe.
sema wapone
 
Kuna watu makanisani wanaambiwa wasiwasalimie watu wengine(wao wanawaita wenye dhambi)
Kuna watu wameambiwa wasishirikiane na wengine(wao wanawaita wenye dhambi)
Hao jamaa wanaitwa walokole(baadhi yao) wamejitenga sana wakifikiri ndo wataenda mbinguni,nimesoma na watoto wa walokole walikuwa wanakatazwa kucheza mpira na sisi watu wa imani nyingine.
Hawa unawashauri nini mama wa amani?
 
akili ni nywele kila mtu na zake
 
Amen,ubarikiwe nawe pia katika jina la Yesu...
 
Kuna watu makanisani wanaambiwa wasiwasalimie watu wengine(wao wanawaita wenye dhambi)
Kuna watu wameambiwa wasishirikiane na wengine(wao wanawaita wenye dhambi)
Hao jamaa wanaitwa walokole(baadhi yao) wamejitenga sana wakifikiri ndo wataenda mbinguni,nimesoma na watoto wa walokole walikuwa wanakatazwa kucheza mpira na sisi watu wa imani nyingine.
Hawa unawashauri nini mama wa amani?
Nawashauri waitafute amani na watu wote,tena sio kuitafuta tu ilimradi,waitafute kwa bidii

Waebrania 12:14
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote ,na huo utakatifu,ambao hapana mtu atakaye mwona Bwana asipo kuwa nao.
Agizo la Mungu katika

Yohana mtakatifu 13:34-35
inasema
34Amri mpya nawapa,mpendane.kama vile nilivyo wapenda ninyi,nanyi mpendane vivyo hivyo.35Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu,mkiwa na upendo ninyi kwaninyi.

Kuna wengine wamekalili neno katika biblia lisemalo "mkatengwe nao" wamejitenga na wakristo,wanasalia nyumbani
Bila kufikiri kwa makini neno hili lina maana gani

Hapa Neno lilikuwa na maana mkatengwe na waabudu sanamu.
 
ok waelimisheni maana wanakera.
 
Back
Top Bottom