white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
habari wakuu ninayo heshima kubwa kuomba msaada kwa mdau yoyote mwenye ndugu/jamaa katika miji ya lusaka ,kitwe na ndola ili njaribu kumuulizia mambo fulani ya kibiashara!nitashukuru wakuu