Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,086
Katika gazeti la Daily News la tarehe 12 November 2018 kuna tangazo kutoka TRA kuwa vifaa vinavyotakiwa kutumika kwa ujenzi wa reli ya Standard Gauge ambavyo vipo bandarini vitapigwa mnada endapo vitashindwa kulipiwa ushuru.
Je hii inaamaanisha mkandarasi ameshindwa kulipa ushuru ?
Je hii inaamaanisha mkandarasi ameshindwa kulipa ushuru ?