Wafanyabiashara wanateswa sana Dar es salaam

hurrem_sultana

Senior Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
135
Reaction score
363
Serekali hii imehamua kuwatesa na kuwanyanyasa wafanyabiashara ndogo ndogo, kila kukicha ni kukamatwa na faini zisizo na maana.mtu anakabiashara kake hapo hapo atoe kodi,atoe pesa za ulinzi shirikishi,atoe pesa za taka,manispaa wanapita kila baada ya dk tano watu wanalizwa elfu hamsini kila kukicha,mara huna dustbin ukijibana kuweka dustbin unaambiwa halitakiwi hili nunua la aina flani,ukinunua unaambiwa chimba shimo yani nivuruguu mitaani,mara cheti cha afya, yani hata hawaeleweki

Wananchi wanateseka sana dar es salaam
 
Bora uwe machinga
 
Ebu elezea nini hasa kilicho kusibu mkuu, kuliko hapa naona kama unazunguka m-buyu tu
 
Wakuu siyo darisalama peke yake hata huku makwetu uswekeni mambo mdundo hayupo mfanya biashara aliye salama. Labda wanahitajika ni wenye viwanda vya cherehani pekee.
 
Tunakamuliwa Kodi za Ukome, ili Meneja wa TRA mkoa na mkurugenzi wa Eneo Wasifiwe kama wanavyosifiwaga wengine pale Ikulu! Kaza Zikaze mzee Baba Mjini hatutoki,
 
Serekali hii imehamua kuwatesa na kuwanyanyasa wafanyabiashara ndogo ndogo, kila kukicha ni kukamatwa na faini zisizo na maana.mtu anakabiashara kake hapo hapo atoe kodi,atoe pesa za ulinzi shirikishi,atoe pesa za taka,manispaa wanapita kila baada ya dk tano watu wanalizwa elfu hamsini kila kukicha,mara huna dustbin ukijibana kuweka dustbin unaambiwa halitakiwi hili nunua la aina flani,ukinunua unaambiwa chimba shimo yani nivuruguu mitaani,mara cheti cha afya, yani hata hawaeleweki

Wananchi wanateseka sana dar es salaam
Umesahau kuwa kwenye Bendera ya Kijani hakuna alama ya Duka/pesa/ .
Na umeshaambiwa Serikali ni ya kijani tupu.
Wafanyakazi wenyewe wanalia wakati kuna alama yao pale japo sasa imegeuka na kuwaponda kichwani.

Wakulima wenyewe wa Mahindi na Mbaazi wanalia kilio cha mbwa koko.
Labda uwe na roho kama ya korosho.
Inabidi Bendera ile ya Bukinafaso iongezee alama ya Korosho.
 
Mimi nilikuwa na kila kitu ila tu dustbin na nilikuwa na mpango wa kununua nikapigwa 50000 ya chapchap , kwa kuwa mauzo ni kidogo nimefunga biashara . Nafuga kuku wa kienyeji . Mambo ni mengi wajaribu kupunguza mzigo kwa wafanya biashara
 
Serekali hii imehamua kuwatesa na kuwanyanyasa wafanyabiashara ndogo ndogo, kila kukicha ni kukamatwa na faini zisizo na maana.mtu anakabiashara kake hapo hapo atoe kodi,atoe pesa za ulinzi shirikishi,atoe pesa za taka,manispaa wanapita kila baada ya dk tano watu wanalizwa elfu hamsini kila kukicha,mara huna dustbin ukijibana kuweka dustbin unaambiwa halitakiwi hili nunua la aina flani,ukinunua unaambiwa chimba shimo yani nivuruguu mitaani,mara cheti cha afya, yani hata hawaeleweki

Wananchi wanateseka sana dar es salaam
Mkuu pole

Saluni yako ipo maeneo gani
 
Waambie wahamie Manisa kwa Shahazadi mustafa
 
Tembeeni vifua wazi hii ni serikali ya wanyonge...sitawaangusha

Hivi mtu akikwambia serikali ya wanyonge mnaelewaga nini kwamfano?....maana yake nikwamba tunatakiwa tuendelee kua wanyonge na wale wabishi wa kunyongea wanyongwe mpaka wanye
 
Kama serikali imeweza kupora kiwanda cha korosho hivihivi tu, itashindwa kwa mamantilie?
 
Hivi mtu akikwambia serikali ya wanyonge mnaelewaga nini kwamfano?....maana yake nikwamba tunatakiwa tuendelee kua wanyonge na wale wabishi wa kunyongea wanyongwe mpaka wanye

Kuna maneno sikuhizi maana yake sielewi kabisa
Uzalendo/mzalendo
Wanyonge 🤷🏽‍♂️
 
Back
Top Bottom