Mzuqa
Kwaanzia sasa hivi ninafunga kwa ajili ya taifa stars iishinde Lesotho. Sitakula wala kunywa chochote na kuvuta sigara hadi kesho jioni. Muda wote huo nitaiweka kwenye maombi.
Haki ya...
Sijasema hivyo kwa kukurupuka...nina maanisha nachoongea...kutokana na different scenarios...zilizotokea hapa nchini...nikianza ni ishu iliyonikutaga mimi mwenyewe...
Niliwahi kuamua kwa moyo...
Wakuu habari za leo, kuna vitu naomba kujua kwa watanzania wanaoishi south africa au watanzania ambao waliwahi kuishi south africa
1) Ni mji gani south africa wenye vyumba bei rahisi?
2) Ni...
Habarini ndugu zangu. nnaombeni msaada wenu kwa mtu anayejua Ofisi za GSM hapa dar au mfanyakaz wowote wa GSM. kuna dili nafatilia atakaeweza kutoa ushirikiano nipo tayar kumpatia zawadi nono...
Mtu wa kwanza alitoka wapi ni swali ambalo wengi wanajiuliza. Kwa namna ya pekee wanafunzi wa shule ambao wanafundishwa katika historia kuwa mtu wa kwanza alitokana na kiumbehaimwenye asili moja...
Ukiangalia video inayotrend sana sasa ukiacha dance ya idibala ni dreva wa basi huko China aliyeamua kulitumbukiza basi zima kwenye MTO mkubwa wa yang tse kiang ameuwa makusudi baada ya hasira ya...
Huu ndio muonekano wa moja ya ndege mpya za ATCL zinazotarajiwa kutuwa nchini Tanzania mwezi ujao.
Ndege hizi zipo katika hatua za mwisho za kuwekwa rangi na nembo za Shirika la ndege la ATCL...
Mwanaume mwenye umri wa makamo kutoka Uganda amewaduwaza wengi baada ya kumuua nyoka wa aina ya cobra na kumla siku yake ya kuzaliwa
Kenneth Odiom ambaye ni mkaaji wa kijiji cha Kwapa katika...
Hawa jamaaa tangu nimeanza kuwafatili wanaongea matangazo tuuu na kidogo kibonde lazima amsifie jiwe yeye Anadhani ukiwa rais wa nchi unakuwa above the law yaaani asikosolewa kwa kigezo cha kutiii...
Airtel, your network appears to be having problems for the past five weeks or so. Many of your customers are having nightmares of communicating with others but the Data seems to be stable...
Mimi ninaamini kila mwanadamu ana kipawa(kipaji) aidha kimoja au zaidi.Kuna kipawa kinaweza kutumika kukupa maisha bora. Nadhani lengo la Muumba kumpa mtu kipawa ili huyo mtu asiwe muhitaji...
2019 March intake Belt & Road scholarship for English medium master program!
1. computer technology
2. mechanical engineering
3. business administration(MBA)
Tuition fee is $3500 per year...
*KIMBE AJITATHMINI; ASIOGOPE FEDHEHA KWA KUWA MKWELI*
Na. Dady Igogo.
Nimemsikiliza mtuhumiwa wa rushwa Mh. Alex Boniphace Kimbe akitoa ufafanuzi. Kimsingi amejaribu kujitetea tu na kuhamisha...
Yaani ili mtu uweze kununua binti/kijana mwenye afya (miaka 18 - 25) kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii, ilibidi uandae kati ya milioni 120 - 150 kwenye pochi ndio uende...
Niipongeze hospitali ya serikali ya Dodoma kwa huduma nzuri. Nimekuwa natumia huduma za hospitali hii zaidi ya miaka 20. Hakika nimeona hospitali hii ikiboresha huduma zake ndani ya mwaka mmoja...
Kama kichwa kisemavyo, leo nimeamua kujaribu kuwachangia watu wa biko Tsh buku.
So hapa nangoja, kama si nyumba hizo zinazotolewa nos, naweza kushinda milioni kadhaa.
Naomba mniombee ili...