The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mzuqa
Kwaanzia sasa hivi ninafunga kwa ajili ya taifa stars iishinde Lesotho. Sitakula wala kunywa chochote na kuvuta sigara hadi kesho jioni. Muda wote huo nitaiweka kwenye maombi.
Haki ya nani nitafurahi sana tukifuzu.
Msaada wanajamvi ni app gani ya simu itaonesha hii mechi kesho.
Mungu ibariki Tanzania.