Kuna msemo usemao ukiona Serikali inawaogopa wananchi ujue kuna uhuru au liberty. Kama wananchi wanaiogopa Serikali ujue kuna udikteta!!
Ukiona wananchi wanaumia ujue kuna unafiki, ubabaishaji, uonevu na uropokaji.
Viserikali kama hivi ni bingwa wa kulalamikia uhaba wa fedha lakini kwenye matukio yenye political mileage fedha inatoka chap chap!!!
Kama Mwalimu Nyerere hakuwa perfect na kwa kuwa alikuwa na busara na hekima sana akili to hivyo, sioni kiongozi mwingine wa kutuaminisha kwamba yeye ni malaika! Hakosei!
Moja ya tabia za viongozi na viserikali visivyojiamini ni kuogopa kukosolewa. Hawana urafiki na press na mara nyingi hujaribu ku temper na uhuru wa mahakama.
Huchukia wabunge wanaoikosoa from both chama tawala and upinzani. Hakuna tume huru ya uchaguzi.
Wanachukia wanaharakati wote bila sababu. Yeyote anayekosoa vehemently kwao huyo ni adui. Hakuna checks and balance as Bunge linaminywa mbavu.
Matumizi ya nguvu kupita kiasi na kutumia jeshi kwa shughuli za kiraia bila justifiable sababu.
Viserikali au viongozi wasiojiamini hutumia dini kuficha uovu au udhaifu wao. Beware of viongozi wabaya wanaojifanya wacha Mola kwani hata akina Hitler, Mussolini, Mabutu, Mugabe, Hosni Mubarak, Gaddafi na wengine walimtaja sana Rabuka lakini hawakuwa necessarily viongozi wazuri.
Ni unafiki kujifanya kumtegemea Allah wakati unatumia madaraka yako kuumiza watu.