Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,787
- 8,123
Inasikitisha kwa kampuni kubwa kama TIGO kuwa wababaishaji na kutokuthamini wateja wao.
Siku ya Ijumaa tarehe 23 saa 2 asubuhi nilinunua umeme kupitia Tigopesa. Cha ajabu pesa ilikatwa pasi kutumiwa token number ya umeme.
Kila ukipiga simu huduma kwa wateja unapewa jibu moja tu kuwa tatizo linashughulikiwa na pesa itarejeshwa muda mfupi. Mpaka leo hii Jumapili si pesa wala token number zimeingia kwenye simu.
Inakuwaje kuwa kosa la mtandao wao liwe adhabu kwa watumiaji? Kwanini waweke dhana kuwa kila mtu ni milionea na kuwa atakuwa na njia mbadala ya kupata umeme hivyo kuchukua muda wao kurudisha pesa? Je kama ile ndio ilikuwa pesa pekee niliokuwa nayo, itamaanisha nikae gizani mpaka pale watakapoona inastahili kurudishiwa pesa yangu? Kwanini huwa hawachelewi kukata pesa zao pale unapokopa salio kwa kisingizio cha mtandao mbovu?
Jibu ni moja tu, TIGO pamoja na huduma yao ya TIGOPESA NI WEZI NA WABABAISHAJI. Na wanapaswa kuchukuliwa kama wezi tu.
Chini ni namba za kumbukumbu wanazotuma kila baada ya kuwapigia
NL137167245
NL137191875
Na hii ya chini ni kumbukumbu Na. Ya pesa iliyokatwa pasi kupata umeme.
54150314901
Kumbukumbu ya muamala 69752547534.
Kama kuna muhisika wa Tigo anaepitia hapa atambue kuwa wao ni wezi na si kila mtu ana uwezo wa kulalamika kwenye mitandao la sivyo kungejaa malalamiko ya watu tu juu yao.