Kuna nini uwanja wa ndege wa Dar?

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
4,120
3,346
Wadau nimeingia dar kwa Mara ya kwanza tangu July Mwaka huu, nimezoea kuona madege makubwa yakipaa angani na kutua, tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeshuhudia ndege moja tu angani, kuna mabadiliko gani? Kwa anayejua anijuze, ingependeza mwenye data vzr akatufafanulia. Kwangu mm haya ni maajabu kwa zaidi ya miaka 20 nilipoijua dar
 
.
FB_IMG_15427571611965904.jpg
 
Wanasubiri Kwanza hadi Ndege zetu zote ziwasili, tuzipigie makofi, tuzikenulie mimeno yetu, tuzipande kwa majaribio huku ' tukizijambia ' kuanzia ' First Class ' hadi ' Economy Class ' ili zianze kutuzoea Watanzania na ' Uswahili ' wetu uliotukuka wa Kupenda ' Kujambia ' vitu vipya vipya, halafu zifuate Hotuba za Kusifia na Majungu tumalize na kupiga nazo Picha kuanzia tukiwa kule katika ' Cockpit ' tumeshika Usukani hadi chini ndipo Ndege zingine zote zianze Kutua na kuendelea na utaratibu wao zoeleka.
 
Ndege gani wataka mkuu? KLM, KQ, Turkish, ,Emirate, Ethiopia zote hizo zipo. Unataka ndege gani? Hujaona hata dream line yetu?
Naulizia frequency ya kupaa na kutua. Nimekaa tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeona ndege mbili tu angani. Siyo kawaida
 
Vipaumbele vya taifa ni Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station, Reli, ununuzi wa ndege na wanasiasa wa
upinzani vyengine baadae mkuu
 
Back
Top Bottom