Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,119
Naiomba mamlaka husika kutafuta namna ya kwaadhibu madereva hasa DAR wasiojua kutumia HONI ipasavyo , pia nawasihi madereva kuwa wastaarabu barabarani HONI zimekuwa chanzo kikuu cha uchafuzi wa mazingira(kelele).