Hongera harmonize kwa kuenzi utamaduni nyumbani

Hongera harmonize kwa kuenzi utamaduni nyumbani

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Kusini kuna wasanii wengi sana wamepita na wengine wapo.
Kati yao haikuwa kutokea msanii wa bongo flavor ambaye amejipambanua live ni mmakonde...
Nadhani wengi walikuwa wanainferiority complex kubali kataa wamakonde na wamasai wanachukuliwa watu wa ajabu kwenye jamii..
Richa ya hayo harmonize Jana ameongea kimakonde kiasi kwamba ameweka akiba kubwa kwa kusini naamini ni msanii pekee anayekubalika mtwara na anaushawishi sana..imemjengea heshima kubwa...
Tuenzi tamaduni zetu na kukumbuka tulikotoka....
Pia ilianza kiba vs diamond,wasafi vs clouds amini nakuambia siku inakuja ni harmonize vs diamond....patanoga sana ..
 
Back
Top Bottom