Idadi ya watanzania wenye msongo wa mawazo kuongezeka

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,535
idadi ya watz wenye msongo wa mawazo(depression) itafikia asilimia 80% kufika mwaka 2020,wengi wao wakiwa ni watumishi wa serikali.Sababu kuu zinazochangia/zitakazochangia ongezeko hill ni;
1.Ugumu wa maisha/ukosefu wa kipato
2.Magonjwa(kisukari ,shinikizo LA damu ,cancer)
3.Ukosefu wa ajira
 
tafiti ya mwaka 2012 ni 20%
Ilifanywa na nani?
Hiyo ni 2012 mimi nimeulizia 2016 mkuu.

Hebu tupate trend ya ongezeko la msongo wa mawazo ili tujadili hii hoja ya mleta mada...inawezekana trend ni the same na haithariwi na ujio wa Magufuli kama mleta mada anavyotaka kuaminisha
 
Pamoja na kuwa na siasa isiyo na tija kwa mtanzania na uongozi ambao haufai naamini sababu nyingine kubwa itayochangia kuongezeka kwa watu wenye depression ni uharibifu wa mazingira ambao umepelekea kupungua kwa mvua na hivyo kushuka kwa kilimo na ufugaji
 
mkuu jingalao, tafiti ya mwisho ni hiyo ya mwaka 2012 iliyofanywa na muhimbili /wizara ya Afya na ilionyesha tatizo litaongezeka zaidi kufikia 2020 kama hatutadhibiti magonjwa sugu na madawa ya kulevya.
kwa upande mwingine kasi ya ukosefu wa kipato kwa mtanzania inaongezeka kwa kasi hasa kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita ,bila kusahau tatizo LA ukosefu wa ajira.
hakuna uhusiano hili tatizo na utawala wa awamu ya 5,tena awamu ya 5 ndio wapo kwenye mikakatibya uhakika ya kupambana na hili tatizo.
 
Back
Top Bottom