Ubora wa bidhaa za Jumia

Ubora wa bidhaa za Jumia

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Wana jf, Naomba kuuliza, je bidhaa zinazouzwa kwenye Jumia ni original? Mwenye experience ya kununua vitu jumia naomba anifahamishe, Na vipi kuhusu bei zao ni nafuu kulinganisha na madukani, Mfano Kariakoo, Mwenge au Mlimani city
 
Ubora hautokani na kununua bidhaa jumla au rejareja unatokana na criteria alizuzitumia manufacturer ili kuunda bidhaa bora

Kununua bidha jumla faida yake ni kupunguza cost kwa mfano ukinunua gunia LA mchele LA kilo 100 kipindi cha msimu Wa mavuno utanunua kwa bei ya chini zaidi na utakuwezesha kupita kwenye vipindi vyote vya price fluctuations ya bidhaa hip

Mlimani city kariakoo na kwengineko wanauza vitu kwa mifumo yote jumla na rejareja ni itategemea na muuzaji ameamua awe whole sale au retailer...lakin kwa mcity na kariakoo wote wanapatikana

By the way. Kama una familia nakushauri bidhaa za nafaka pamoja na mafuta na mkaa uwe unanunua jumla, kwa kufanya hivi utapunguza cost zisizokuwa na mpango
 
hahahahaaaaaaaa, brother umeshusha essay ndeeeefuuuu afu umeingia CHAKA.... wanasema bidhaa za JUMIA sio jumla, uwe makini sana kusoma post kabla ya kuchangia
 
Wana jf, Naomba kuuliza, je bidhaa zinazouzwa kwenye Jumia ni original? Mwenye experience ya kununua vitu jumia naomba anifahamishe, Na vipi kuhusu bei zao ni nafuu kulinganisha na madukani, Mfano Kariakoo, Mwenge au Mlimani city
Hata mm natamani kujua maana nimekuwa na mm kutaka kusikia kwa wengine waliowahi kununua!
 
Ubora hautokani na kununua bidhaa jumla au rejareja unatokana na criteria alizuzitumia manufacturer ili kuunda bidhaa bora

Kununua bidha jumla faida yake ni kupunguza cost kwa mfano ukinunua gunia LA mchele LA kilo 100 kipindi cha msimu Wa mavuno utanunua kwa bei ya chini zaidi na utakuwezesha kupita kwenye vipindi vyote vya price fluctuations ya bidhaa hip

Mlimani city kariakoo na kwengineko wanauza vitu kwa mifumo yote jumla na rejareja ni itategemea na muuzaji ameamua awe whole sale au retailer...lakin kwa mcity na kariakoo wote wanapatikana

By the way. Kama una familia nakushauri bidhaa za nafaka pamoja na mafuta na mkaa uwe unanunua jumla, kwa kufanya hivi utapunguza cost zisizokuwa na mpango
Hahahahhahahahhahahahhahhahahahhahsaahha
 
Dah Leo nimejiaibisha kweli yan... Hahah
Usijali mkuu tupo pamoja, kukosea kupo kwenye maisha,Mimi naulizia kuhusu bidhaa zinazouzwa kwenye soko la mtandaoni linaloitwa JUMIA
 
Ubora hautokani na kununua bidhaa jumla au rejareja unatokana na criteria alizuzitumia manufacturer ili kuunda bidhaa bora

Kununua bidha jumla faida yake ni kupunguza cost kwa mfano ukinunua gunia LA mchele LA kilo 100 kipindi cha msimu Wa mavuno utanunua kwa bei ya chini zaidi na utakuwezesha kupita kwenye vipindi vyote vya price fluctuations ya bidhaa hip

Mlimani city kariakoo na kwengineko wanauza vitu kwa mifumo yote jumla na rejareja ni itategemea na muuzaji ameamua awe whole sale au retailer...lakin kwa mcity na kariakoo wote wanapatikana

By the way. Kama una familia nakushauri bidhaa za nafaka pamoja na mafuta na mkaa uwe unanunua jumla, kwa kufanya hivi utapunguza cost zisizokuwa na mpango
Essay page 6 halafu unakula 0.😀😀😀😀😀 asante, umenifurahisha sana mkuu.
 
Jumia=jumla
Daaaa jamaa nahisi haijui jumia.
Lkn sio kesi ameijua leo
 
Wana jf, Naomba kuuliza, je bidhaa zinazouzwa kwenye Jumia ni original? Mwenye experience ya kununua vitu jumia naomba anifahamishe, Na vipi kuhusu bei zao ni nafuu kulinganisha na madukani, Mfano Kariakoo, Mwenge au Mlimani city
Uminigusa sana na umenifanya nikumbuke miaka mi2 nyuma ambapo bidhaa nilizonunu ni 3 zenye thamani ya Tsh 400,000+ lakini ndani ya wiki moja tu bidhaa mbili zilikufa!

Nilinunua Simu aina Huawei lakini nilipoipokea baada ya kuweka laini siku zima nikiangaika kupata kupandisha mnara haipandishi! Nikairudisha muda mfupi tu, nikachukua Water Dispenser aina ya Bruhim ilikaa wiki 2 kasoro ikafa upande wa kupozea maji ya baridi ila tu unaponunua wao kama Jumia huwa wanakupa wiki moja kurudisha bidhaa pale Jumia, ikipita wiki moja wanakuelekeza sehemu ambayo imetoka upeleke mwenyewe. kiukweli bidhaa zao sijui ni fake au anaepewa alete mzigo anachakachua ama vipi sijui lakini hazifai ata.
 
Mi mteja mzuri wa Jumia kwa uzoefu wangu bidhaa nzuri na mbaya zote zipo ingawa wanajitahidi kuangalia zenye ubora.

Ni vyema ukafahamu unachotaka kununua na specification zake ili kupata bidhaa bora.

Jambo nililojifunza mtu wa delivery abapokuletea bidhaa ni bora ucheki kabisa mzigo kama ndio wenyewe na kama upo katika hali nzuri na ubora ulioutarajia.

Ukijishajiridhisha unaweza kumlipa kwa roho safi na kama hujaridhika basi unaweza kurudisha mzigo.

Uzuri wa Jumia ukirudisha bidhaa kama haikuwa kama vile ulivyoitarajia hawana longo longo. Hii pamoja na kulipa on delivery nafikiri vinafanya kununua vitu Jumia kuwa rahisi hasa kama huna muda wa kuzurura madukani au Kariakoo.

Pia bei zao huwa sawa na za dukani au chini kidogo na mara chache juu kidogo kulingana na bidhaa lebo na ubora.
 
Uminigusa sana na umenifanya nikumbuke miaka mi2 nyuma ambapo bidhaa nilizonunu ni 3 zenye thamani ya Tsh 400,000+ lakini ndani ya wiki moja tu bidhaa mbili zilikufa!

Nilinunua Simu aina Huawei lakini nilipoipokea baada ya kuweka laini siku zima nikiangaika kupata kupandisha mnara haipandishi! Nikairudisha muda mfupi tu, nikachukua Water Dispenser aina ya Bruhim ilikaa wiki 2 kasoro ikafa upande wa kupozea maji ya baridi ila tu unaponunua wao kama Jumia huwa wanakupa wiki moja kurudisha bidhaa pale Jumia, ikipita wiki moja wanakuelekeza sehemu ambayo imetoka upeleke mwenyewe. kiukweli bidhaa zao sijui ni fake au anaepewa alete mzigo anachakachua ama vipi sijui lakini hazifai ata.
Mi nimenunua simu mbili na nazitumia hadi sasa na ni muda mrefu sasa bila shida. Pia nna fitness tracker iko poa tu. Ila kuna saa nilinunua zilizingua ndani ya muda mfupi.
 
Dah! Sijui kwakweli lakini kwangu kwenye issue ya Simu ilikuja ikiwa mzuri kwa nje bila kuonyesha kama ilitumika lakini laini nilikuwa sijaikata hivo ilinibidi mpaka nipite sehemu za kuikata then nikaiweka lakini nilicho ona ndiyo hicho!
 
Wanajitahidi kuuza bidhaa bora.
Binafsi nina bidhaa zao mpaka sasa zinafanya kazi vizuri.
Sasa sijui kwa wadau wengine walio wahi nunua bidhaa JUMIA na zikawa hazina ubora. Pengine niseme inategemeana na aina ya bidhaa uliyonunua. Lakini bidhaa zao hazina shida kabisa.
 
Back
Top Bottom