Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

mheshimiwa waziri wa elimu kwanza hongera kwa kazi unayofanya ili kuboresha elimu yetu ila kwa kifupi sana kungoja nikwambie kinachoenda kufanyika kwenye mtihani huu ambacho kimsingi kimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Taifa la Tanzania limefutilia mbali usajili wa meli kadhaa za Korea Kaskazini kwa kupeperusha bendera za taifa hilo kinyume na sheria. Waziri wa maswala ya kigeni wa Tanzania Augustine Mahiga...
1 Reactions
Replies
Views
Wanafunzi wa form IV wamebakiza wiki moja waanze mitihani yao ya kumaliza elimu ya Ordinary level Tulishuhudia Nigeria wakizima mitandao ya kijamii kuzuia udanganyifu wa mitihani wanafunzi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hospitali hiyo haina kifaa cha kupima mkojo,upande wa Nyamagana ni hospitali kubwa,inayohudumia wananchi wengi ,maskini ni wa hali ya kati,cha kushangaza inakosa kipimo hicho muhimu,viongozi wako...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Why you must wash your hands with soap
0 Reactions
6 Replies
564 Views
Malalamiko kwa bodi hii yamekuwa ni mengi. Ushauri kwa bodi: 1. Shirikisheni viongozi wa wanafunzi ktk mijadala yenu ya mikopo. Rais alisema huu ni mkopo na si vinginevyo hivyo wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
689 Views
Muheshimiwa Jaji mkuu; Kwa heshima na taadhima naomba umsaidie huyu mama ambaye amedhulumiwa na anaendelea kudhulumiwa na vyombo vinavyofanya kazi chini yako. Nimeamua nikuandikie kwa vile nina...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Post deleted by author!
1 Reactions
5 Replies
880 Views
Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimestushwa kushuhudia kwa kiwango cha kutisha namna wafugaji walivyovamia mashamba ya wakulima ya mahindi na migomba na kuyasambaratisha yote! Kwa kweli mimi...
0 Reactions
3 Replies
654 Views
Watu wawili wanaosadikiwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Askari katika Kijiji cha Magamba wilayani Lushoto, Tanga.
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Baada ya tukio la mkurugenzi na trafik kuchukua sura mpya ikipelekea mkurugenzi kupandishwa kizimbani na hatimaye kutumbuliwa, najua wengi wenu mmekuwa na uoga mkitamani hata magari yenu myafukie...
18 Reactions
77 Replies
8K Views
Hospitalini dawa hakuna, AJIRA zimesitishwa , vijana wamejaaa mtaani hawana matumaini, watumishi wanasononeka hawajapandishwa madaraja,hawajalipwa madai Yao, call allowance,extral duties kwa...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Hiki kifurushi ni jipu kwa ukulipia 500 unapewa mb 150 wakat mitandao mingine unapata mb 350 hebu jaribuni kuweka usawa hapo.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Baada ya hivi karibuni mifuko ya hifadhi za jamii kuripotiwa humu jukwaani hasa juu ya fao la kujitoa au kuacha kazi, Leo nimeona si vibaya nikatize nssf pale ilala nikapate...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
Itakumbukwa vyema wakati wa kampeni za uchsguzi 2015, ilani ya CCM ilikuwa na agenda kuwa kila kijiji kitapatiwa mil50 kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo, lakini hali hivi sasa imekuwa tofauti...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Huyu bodaboda amebeba abiria wawili halafu wote hawana helmet akikamatwa eti ameonewa. Hivi ni kwa nini hawatii sheria bila shuruti?
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Unanunua bidhaa ukiangalia maandishi mengine yanavutia kweli lakini sasa kwenye expiring date duh[emoji85] kichekesho, inafinyangwa finyangwa ili usione vizuri. Acheni ubabaishaji mtatulisha sumu!!
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Sitawasalimu wanajamvi kwa siku ya leo maana sipo katika mood kabisa........ Najaribu kutafakari kwa sauti tu hapa........hivi ni nini kinaendelea serikalini......kwa maana naona huu mtindo wa...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Kampuni ya Apple inatumia nembo ya tunda la Apple lililokang'atwa pembeni,nini maana yake ?nini kilicho nyuma ya nembo hii?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom