Huenda ukawa umezoea na kuboreka na foleni ya jiji la Dar Es Salaam ambalo wakati mwingine inaweza kukugharimu kwa zaidi ya saa moja kukaa katika foleni kutoka Tegeta hadi Posta, hususani mvua...
Imekuwa kawaida kwa vijana wengi siku hizi kupenda kunyanyua vyuma ili kujenga mwili wenye misuli mikubwa na muonekano mzuri. Utamaduni wa kubeba vitu vizito ili kujenga mwili wenye muonekano...
Kuna dada anahadithia,
Mtoto wake huwa halii mara kwa mara ila baada ya mama mmoja kuja kuwatembelea, mtoto kalia kama kaumwa nyoka, kila akimuangalia analia sana, tena kwa hofu na wasiwasi...
Kuna tukio afisa mtendaji wa kijiji cha igomba kata ya saja wilaya ya wanging'ombe amenusulika kifo baada ya kuvamiwa na kukatwa katwa na mapanga amelazwa hospitali ya Ilembula, chanzo cha taarifa...
Vyombo kadhaa vya habari wiki hii vimeripoti kwamba Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo amezindua kampeni iitwayo 'Nakupenda, unanipenda, usinishike mkono' ili Watanzania wasishikane mikononi...
Wandugu,
Awali ya Yote Napenda kuchukua nafasi kuwashukuru wote wenye mapenzi mema mlioniletea maji na mikate nikiwa ''keko''.Nawapenda sana!WANAOKWENDA JELA SIO WOTE WENYE HATIA...
huku mtaani umekua ni utamaduni,pindi mtu anaponunua gari hata kama ni vitz afu awe na kakitambi kalikojaa minyoo basi watu wataanza kumsema ooh jamaa keshatoka kimaisha.
naomba kuwauliza,hivi...
Wataalamu wizarani na mitaani ni mabingwa wa kukatisha tamaa vijana kuwekeza kwenye viawnda lakini pia hawana taarifa halisi juu ya soko la korosho. kwa kusoma hii article na iwapo mh Magufuri...
Kazi nisiyoipenda!
Aisee kazi nisiyoipenda ni uaskari wa aina yoyote. Ukiwa askari, ule uhuru wako unamuuzia aliye juu yako. Wewe ukiamriwa hata ule tope utakula tu. Issue za kushinda nimevaa jezi...
Nimeshangazwa na habari zinazosema huko wilayani Handeni, mkoani Tanga, Halmashauri yao ya Mji wa Handeni, wameuza gari la kubebea wagonjwa kwa sh 950,000 tu.
Hapa najiuliza lilikuwa gari au...
Mtu wa mwisho kutembea kwenye Mwezi, Gene Cernan, alifariki dunia January 19 2017 akiwa na umri wa miaka 82.
Alikuwa kamanda wa chombo cha safari za anga za juu cha Apollo 17 mwaka 1972 na...
Mpaka sasa sipati jibu ni kwa nini watawala wameruhusu biashara ndogondogo zifanyike kwenye vituo vya daladala na kwenye njia za waendao kwa miguu. Licha ya kuwa kero kwa watumiaji wa barabara...
Hii mitandao ya simu kweli inasumbua. Toka jana kama ulikuwa umehifadhi pesa yako M-Pawa huwezi kuitoa, utaitazama tu lakini huwezi kuitoa. Ukiwapigia voda unaambiwa ooh kuna matatizo subiri saa...
Nimeshangaa kukuta picha za waziri wa maliasili na utalii akizindikwa na wazee wa mila, ambao wanaonekana pasi na shaka ni waganga wa kienyeji.
-----
Hakuna maombi ama dua ambazo sikupokea...
*TITBITS FROM MoWTC-PM OPENING REMARKS :*
-This EAC law has already been passed and starting date is January 2019.
-Sensitization meetings to transporters will be done all over the country zones...
Zaidi ya dola milioni 11 zinaripotiwa kutoweka kutoka kwa hazina ya taifa nchini Gambia, kufuatia kuondoka kwa kiongozi wa muda mrefu Yahya Jammeh.
Jammeh alikwamia madaraka kwa karibu miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.