Je, ukiforward movie unaweza save GB zako?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,330
Namaanisha kwa wale tunaoangalia movie na videos online. Wajuvi tafadhali
 
Fetching of information inavyo fanyika ndio downloading process inafanyika so data zitakwenda tu.

Uwe una pause then i fetch data (kama ni youtube ijae kale kamstari then ndio unaplay angalau data itakwenda taratibu. )

Bora kudownload kuliko kuangalia online hapo utaweza ku save data.
 
Kivipi mkuu.. Mfano muvi in MB 700, unataka kunambia ukiangalia online zitakwenda zaidi ya hzo?
 
Back
Top Bottom