Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kwanza, kabla sijaendelea embu tuwekane sawa kuhus hii falsafa ya “kufanikiwa kimaisha”, ina maana gani haswa? Ukweli ni kwamba watu wengi wakisikia fulani amefanikiwa kimaisha, basi moja kwa moja...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kiukwel ule utafit uliosema kati ya Watanzania wa 4 mmoja ni Kichaa. Umeleta hali ya kutokuaminiana katika Jamii. Na kusababisha hali ya sintofaham. Imefikia hatua sasa hata viongoz wetu...
17 Reactions
57 Replies
4K Views
Taharuki sehemu ya Gapco karibu na Nyerere Sq. Saa nne hii. Sijui ni majambazi au mazoezi?. Kuna nini NMB? Mwenye habari atujuze.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi wandugu hii miujiza ipo kweli? Ebu kama kuna yeyote humu aliyewahi kupata muujiza wa hapo kwa papo toka kwa watumishi hawa aje atusimulie na aje na mfano halisia na kwa picha, kama...
5 Reactions
210 Replies
19K Views
Ndege mpya za ATCL zishaanza kufanya route zake? Kama tayari waliozipanda watugawie experience ipoje? Je huduma zao zikoje, ili tukisafiri tuwe na maamuzi tusije kuingia chaka.
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Mahakama ya Ilala imefuta mashtaka ya unyanganyi wa kutumia silaha ya mshtakiwa Salehe maarufu kama Scorpion baada ya upande wa mashtaka kuombe liondolewa kwa sababu hawana nia ya kuendelea na...
18 Reactions
317 Replies
60K Views
Hello waungwana wa humu ndani, Baada ya salaams, Niende moja kwa moja kwenye mada, Kuna usemi unasemwa "Malipo ni hapa hapa duniani" yaani mtu ukimkosea mwenzako na akamuachia Mungu basi yule...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Mpaka sasa ni siku ya 46 bado serikali Mkoani Kagera inafanya tathmini ya tetemeko la ardhi. Sijui itachukua muda gani mpaka ili zoezi liishe, Michango bado inachangwa lakini hatujui inawafikiaje...
0 Reactions
6 Replies
970 Views
f.c.k.u
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Wewe ni nani? Ni swali ambalo ukiulizwa unaweza kuliona rahisi sana na kulijibu haraka haraka kwa kutoa jibu linalotaja jina lako. Mimi ni James, ama nimi ni Janeth. Lakini ni ukweli ulio wazi...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Ndugu zangu wasomaji ni ukweli usiopingika kuwa hadithi zinakuwa na malengo ya kuonya, kufundisha na kuburudisha. Wazee wetu walitunga hadithi hizi ili ziweze kusaidia vizazi vilivyopo na vijavyo...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa mfano wiki ijayo labda akija hapa nchini Rais wa Urusi Vladmir Putin kwa ' ziara ' yake ya Kikazi hapa nchini ni nani anakuwa anaangalia ' Usalama ' wake pindi akitua tu, akiwa nchini na hadi...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kuikamata gari aina ya Toyota Harrier iliyoibiwa DSM. Jeshi la Polisi mkoani Pwani limefanikiwa kuikamata gari aina ya Toyota Harrier ilioibwa jana...
3 Reactions
59 Replies
10K Views
Karibuni............ kuna mdau mmoja aliniambia akipata pesa atatatua shida zake zote sasa turejee swali.... ukijibu useme kwa nini kimmalize mwenzake?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi mtakumbuka Mara baada tetemeko kutokea serikali ilikimbia mbio kwenda kuandaa mazishi ya waliokufa ktk tetemeko hilo kitaifa. Watu wengi tukategemea kinachofuata ni serikali...
1 Reactions
2 Replies
756 Views
Magazeti mengine yanafuata sera za kisiasa kadiri ya chama wanachoshikamana nacho. mengine yanatumiwa na watu wenye nguvu au serikali. yapo mengine ni ya kidini na humu uzini cjayahusisha kabisa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Redirect
Mgombea ubunge Jimbo la Mbarali haroon-mulla MTOTO wa Mbunge wa Mbarali, Haroon Mulla (CCM), ametiwa nguvuni kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo pamoja na nyama ya pori kinyume cha sheria...
1 Reactions
Replies
Views
Wapendwa, Mwaka jana liliibuka suala la bei ya sukari kwamba ilikua ni kubwa mno, maagizo yalitolewa kwamba ishuke adi 1800 per kg, chakushangaza baada ya tamko sukari ikapanda bei tukaambiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Back
Top Bottom