Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,072
- 63,257
1.Bila shaka chombo chenu ni chombo cha kutoa huduma kwa umma.
2. Bila shaka uwepo wenu ni kwa sababu kuna umma
3. Na kwa kuwa huko nyuma mmewahi kuchukua initiative ya kwenda mahakamani kuchallenge sheria mbaya, Je mna mpango gani kuchallenge sheria hii yenye kuumiza ya pensheni?
4. Tuliona jinsi viongozi wa TLS walivyotoka mbio kwenye mtandao kumpinga raisi wa chama chao kwenye ishu ya Ushoga, Leo naomba kuwauliza Je wana msimamo gani wao kama chombo cha huduma kwa umma kuchallenge sheria hii ya pensheni?
5. Na wewe raisi wa TLS , Fatuma Karume ( Shangazi), tueleze, unachukua hatua gani ili kuchallenge sheria hii mahakamani?
7. Ni haki ya Kikatiba mtu kulipwa ujira stahiki kwa kazi yake, Je mchangiaji akifa na familia ikalipwa only michango ya miaka 3 ni malipo stahiki ya mtu kwa mujibu wa katiba?
8. Je serikali haijavunja mikataba ya kimataifa ya ajira na kazi iliyoiridhia kwa kutunga sheria hii?. Hebu bukueni, fungueni madocument mkaliraise hili jambo mahakamani
TLS haya ndo masuala nyeti yanayotugusa sisi umma, tunaomba mfungue kesi kuifutilia mbali sheria hii.
Umma unasubiri mrejesho