Msaada: Tofauti ya bei za mabati kiwandani na dukani

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,023
2,000
Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua utofauti wa bei za mabati endapo utanunulia dukani na kama utamua kwenda kiwandani

Bati za rangi migongo midogo
Bati za aruminiam za kawaida migongo midogo gejI 30

Wewe kama dalali mpigaji pita usitoe mchango wako maaana wapigaji na madarali ndio mnafanya mambo yaonekane magumu kumbe hapana ni mambo ya kawaida tu endapo utapata tarifa sahihi
 
Shangani

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
543
1,000
Bei inategema na kiwanda...kama upo dar unaweza kutembelea viwanda vya mabati au ukapiga simu utapata majibu.
 
J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,509
2,000
Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua utofauti wa bei za mabati endapo utanunulia dukani na kama utamua kwenda kiwandani

Bati za rangi migongo midogo
Bati za aruminiam za kawaida migongo midogo gejI 30

Wewe kama dalali mpigaji pita usitoe mchango wako maaana wapigaji na madarali ndio mnafanya mambo yaonekane magumu kumbe hapana ni mambo ya kawaida tu endapo utapata tarifa sahihi
Inategemea ni kiwanda gani na upo mkoa gani . Kwa hapa Dar kuna kiwanda kipo Tabara matumbi unaweza kupata kwa 19000 ila nilazima upelekwe na dalali ambaye haumlipi we we analipwa na kiwanda hasa kama unanunua bati chache kiwanda kinaitwa Yang Lin. Mkuu sijaelewa ni kwann huwataki madalali , katika mfumo wa biashara wa kisasa hakuna namna ya kukwepa madalali hasa kama wewe ni mnunuaji mdogo wa bidhaa ishu ya muhimu ni kuangalia unapata nini (willing buying ). Kila LA kheri. Nikupe mfano rahisi tu mkuu, ukienda pale Ubungo kupanda abood ya kwenda morogoro nauli ni 7000 . Ila ukimkuta mpiga debe akikupeleka kwenye gari anapewa 500 kwenye elfu saba yako na ukienda mwenyewe utalipa elfu saba iyoiyo sasa kwann usimkubalie akupeleke apate iyo 500 ambayo haikidhuru chochote!?
 
Mwanitu

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
928

Tatizo hao madalali wanataka huku na huku.anakubana mteja pia
 
the locksman

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,019
1,500
Inategemea ni kiwanda gani na upo mkoa gani . Kwa hapa Dar kuna kiwanda kipo Tabara matumbi unaweza kupata kwa 19000 ila nilazima upelekwe na dalali ambaye haumlipi we we analipwa na kiwanda hasa kama unanunua bati chache kiwanda kinaitwa Yang Lin. Mkuu sijaelewa ni kwann huwataki madalali , katika mfumo wa biashara wa kisasa hakuna namna ya kukwepa madalali hasa kama wewe ni mnunuaji mdogo wa bidhaa ishu ya muhimu ni kuangalia unapata nini (willing buying ). Kila LA kheri. Nikupe mfano rahisi tu mkuu, ukienda pale Ubungo kupanda abood ya kwenda morogoro nauli ni 7000 . Ila ukimkuta mpiga debe akikupeleka kwenye gari anapewa 500 kwenye elfu saba yako na ukienda mwenyewe utalipa elfu saba iyoiyo sasa kwann usimkubalie akupeleke apate iyo 500 ambayo haikidhuru chochote!?
Wewe utakua muongo. Mfano hapo Ubungo ukienda mwenyewe wakati ofisi ya Abood unaifahamu kuna shida gani, na hao madalali wanaleta usumbufu tu. Nahisi wewe ni dalali.
 
J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,509
2,000
Wewe utakua muongo. Mfano hapo Ubungo ukienda mwenyewe wakati ofisi ya Abood unaifahamu kuna shida gani, na hao madalali wanaleta usumbufu tu. Nahisi wewe ni dalali.
Unahisi mm ni dalali!! Unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi besides udalali ni kazi halali kama MTU ananunua mabus ya billions na anakabidhi dalali kuna tatizo gani mkuu , kama Dangonte ana madalali kila mkoa wanaotafutia mizigo magari yake yanayopeleka sement kuna shida gani!?
 
NGOSWE2

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
368
250
Viwanda vyote vya kichina wameweka madalali. Zile bei u azozikuta ofisini kwao (kiwandani) sio bei halisi. Na wanao tuumiza ni hawa Waswahili wenzetu, wala si wachina. Ninauzoefu wa manunuzi ya viwandani ndio maana nasema hivyo.
 
Matango nyama

New Member
May 8, 2012
2
20
Bei za sunshare na alafu. Kwenda kiwandani haina faida ukipata wakala wakiwanda anaweza kukupunguzia bse yeye anakamisheni ila kama sio wakala sijui...
 
Attachments

 • IMG_20180205_130203.jpg
  File size
  100.7 KB
  Views
  347
 • IMG_20180205_152703.jpg
  File size
  99.6 KB
  Views
  254

kimyama nje

JF-Expert Member
May 28, 2017
361
500
Nenda alafu utapea being ya agent Na yajawaida utachagua mwenyewe kusuka au konyoa. Being ya agent huto andika jina lako ila inabidi ugawane Na watu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom