WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyangw’ale waliohusika na ubadhilifu wa zaidi ya sh. bilioni tatu fedha ambazo zilitolewa na Serikali kugharamia...
Hivi karibuni kila mtu hapa Jf amekuwa Doctor ama mganga!
Usiingilie taaluma ambayo kwa kifupi hujui chochote!
Hasa hawa wanaokuja na mbinu zakupinga kula nyama eti kisa tu yeye kafulia au hana...
*~Aagiza kukamatwa mara moja kwa Mwanakijiji*
*~Ni baada ya kuanzisha dampo kienyeji kwenye makazi ya Watu*
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe, Gavana Emmanuel Shilatu ameagiza...
Habari wakuu....
Kuna jambo leo nimeona niweze kushare na nyie ili miweze kupata ufahamu zaid kwa kitu ambacho nimekuwa nikiulizwa na mimi kutokuwa na majibu ambayo yana uhakika...
Swali
Iv...
Ni kwamba Ulaya na Marekani mipango mingi ya ' Kuwaangamiza ' wale ' Maadui ' tishio wa nchi zao wa ndani au wa nje hufanyika kwa ' Usiri ' mkubwa, uratibu wa Kitaalam zaidi na umakini wa hali ya...
MFANYABIASHARA mmoja mkazi wa jiji la Dar es Salaam Innocent Kimaro ambaye anajihusisha na uuzaji wa madini ya mawe aina ya Dolomite ambayo hutumika viwandani kwa ajili ya kutengenezea Vigae...
Ofisi nyingi za serikalini huduma bado ni changamoto kubwa sana ila nyingine ni kero.
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa ni ofisi moja ya umma ambayo hawajui wanachokifanya.
Kwenye mtandao...
Mahakama ya wilaya ya Njombe mkoani njombe imemhukumu kifungo cha maisha Zakayo Mwalongo kwa makosa ya kubaka watoto watatu huku wawili wakiwa ni watoto wake wanaodaiwa kuwa na umri wa chini ya...
Kwakweli binafsi naburudishwa sana na harakati za kiujenzi zinazoendelea kila kona.
Mfano tu hapo mbezi mwisho, naona pakimalizika patakuwa na msaada mkubwa kiuchumi na ktk kuokoa Muda
Nikipita...
Kila mtu ana kitu kile ambacho mwenzake hana na kila mmoja anatumia kipawa chake kwa usahihi kabisa kuliko mwenzake.
Kipawa na uwezo wa kufanya kitu chochote kile ambacho kinaweza kuwa kigumu kwa...
Kigogo wa China amesema hawana lengo na hawataki kuwa fanya watumwa tena. Kwa maana wa Africa wengi mmeingiwa hofu ya “kwanini wanatupa misaada bila masharti magumu kama wengine?” Misaada mingi...
Kigogo wa China amesema hawana lengo na hawataki kuwa fanya watumwa tena. Kwa maana wa Africa wengi mmeingiwa hofu ya “kwanini wanatupa misaada bila masharti magumu kama wengine?” Misaada mingi...
Hali ni shwari kabisa.
Hakuna manunguniko ni zoezi la kuuza na kununua tu kwa bei elekezi linaendelea.
Kama kuna waliodhani ni mbwembwe huku ndio kwanza kumekucha.
Hongera Serikali wananchi...
Pride Inakufa
JAMHURI, toleo Na. 337
Taasisi ya Kukuza Maendeleo Vijijini (PRIDE Tanzania) inachungulia kaburi.
Hali hiyo imesababishwa na kile kinachoelezwa kuwa ni matumizi mabaya ya fedha na...
Kwanza nimshukuru MUNGU kwa kutujalia pumzi na Uhai.
Pili, naomba na mimi nilete kwenu nadharia ifuatayo na ambayo nadhani ikitolewa katika hali ya unadharia na kutekelezwa katika uhalisia huenda...
Kwako Kamishna mkuu wa Uhamiaji
Naombaa nikupongeze kwa kubadilisha baadhi ya mambo ktk ofisi zetu.
Nirudi kwa mada hapo juu mh kamishna natamani mtume watu wa kuangalia vituoni muone hili zoezi...
Mtalii na raia wa Marekani, John Allen Chau aliuawa wiki iliyopita kwa kufumwa mishale na watu wa kabila la Sentinele walio hatarini kuangamia, wanaoishi katika kisiwa cha Sentinele Kaskazini...
MAHINDI yanaendelea kuwadodea wakulima mkoani Rukwa baada ya wafanyabiashara na watu binafsi kuchangamkia mahindi kutoka nchini jirani ya Zambia yanayoingizwa mkoani humo kimagendo, yakiuzwa kwa...
Habari wanaJF!
Hivi tuna sheria yoyote inayohusu mizigo ya abiria wakati anasfiri kwa basi? Maana kuna Ndugu yangu anasifi toka Arusha kuja Serengeti kwa basi, sasa amebeba mzigo kidogo vyakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.