Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ukiangalia upande wa magharibi baada ya Jua kutua, kuanzia saa moja hivi karibu na upeo kiasi nyuzi 30, utaona nyota kali inan’gaa angani. Nyota hiyo si nyingine ila ni Zuhura (Venus) ambayo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi tulisikia mengi mara mmoja kawahi kazini kafungia wafanyakazi nnje Mara ziara za kutembelea mbuga Mara ziara za kushtukiza mahospitalin na nini na nini Mara ziara za kumtembelea jj mwaka...
0 Reactions
5 Replies
898 Views
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limekamata mfuko mkubwa uliokuwa umesheheni nguo pamoja na vitu kama tunguli, huku ndani yake kukiwa kumefichwa ngozi ya chui. Mfuko huo ulikuwa umetelekezwa na raia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna ajali mbaya umetokea maeneo ya palm beach saa 11 asubuhi ya Leo,lory limemgonga mwanamke wa kihindi akiwa na X5,wakati napita bado mwanamama huyo anapumua na juhudi za kumtoa zilikuwa...
1 Reactions
34 Replies
9K Views
Jamani nashindwa kuwaelewa hawa TANESCO hapa tabata,tumetoa taarifa tangu saa tano kuwa kuna Nguzo imeanguka hapa tabata chang'ombe karibu kitazi Bar wakaja na kukata umeme na kuondoka je...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
  • Redirect
Huo ni msemo wanao utumia waingereza wakimaanisha maisha yako, ijapokuwa yanaanza toka milele iliyopita na toka umeumbwa na toka umeanza kukua n.k bado maisha halisi yataanza rasmi siku ukitimiza...
28 Reactions
Replies
Views
Rabat tunakuja, Air Tanzania Hewaniiiiiiiiii!
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Kampuni ya Samsung Afrika Mashariki (SEFA) imesema kuwa itawabadilishia simu au kuwarudishia gharama zao wateja wote walionunua simu za Samsung Galaxy Note 7 popote duniani kufuatia hitilafu...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Tajiri na billionare wa Kinigeria aliko Dangote ameendelea kuwa tajiri wa kwanza mwafrika duniani kote, akiwa na utajiri wa dola za Kimarekani 15.4 billion, utajiri huu kwa mjibu wa jarida maarufu...
4 Reactions
142 Replies
45K Views
KINACHOENDELEA KONGO DRC NI KILE KINACHOJULIKANA KAMA MKAKATI "MUGHARABU". Makala yangu no 03. Juu ya ziara yangu East, Central & Great lake zone of Africa. Na Comred Mbwana Allyamtu. Tarehe...
5 Reactions
68 Replies
12K Views
Hivi majuzi nilikuwa Mzizima au Dar es Salaam na kupata nafasi kufika ofisi kuu ya TTCL, kampuni ya taifa ya simu nchini, ili kupata mbili tatu kufuatia mabadiliko ya utoaji huduma. Hivi sasa...
0 Reactions
2 Replies
734 Views
DC HAPI AENDELEA NA ZIARA YAKE KATA YA MWANANYAMALA-KINONDONI Akiwa na siku 183 tangu kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni 18/April/2016, Ally Salum Hapi ameendelea kutekeleza kwa vitendo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Redirect
9, December 1961,wakati tunapata Uhuru siku ya jumamosi wezetu Morroco wanasherekea miaka minne ya kuwa huru 2, march 1956(independent Day) Pamoja na kuwa na Tofauti ndogo ya UMRI Leo...
0 Reactions
Replies
Views
Wataalam wa miamba,matetemeko na wanasayansi wengine wamekutana kuzungumzia utabiri mpya wa majanga ya asili ambayo yanategemewa kuikumba dunia. Taarifa kutokaFEMA(Federal Emergency Management...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani limefanikiwa kuwanasa wezi wa gari la Afisa wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) wakijaribu kulitorosha usiku wa manane, ndani ya saa 12 tangu walipopata taarifa za tukio hilo...
0 Reactions
Replies
Views
Mkuu wa wilaya ya Longido Daniel Godfrey Chongolo amemtia ndani Mkandarasi anayejenga barabara ya Longido-Kitumbeine-Oldonyolengai Bw. Loserian Sokonei Mollel kutokana na uzembe na kutotimiza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
tarehe 25/10 mwaka jana ndio watanzania walifanya kupiga kura ya kumchagua Mkuu wao... ilikuwa hamshahamsha inayowapa waisha walioyachagua leo hii... vizuri sana...kwa maamuzi mliyoyafanya
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom