proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,925
Habarin za muda huu Wanajamvi…!!
kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu,, nipo Mbeya kama mwezi wa tatu hivi kwa shughuli binafsi,, lakin kitu nilichokion ni wimbi kubwa la wanaume hasa vijana wenye nguvu kuzunguka mjini na ungo au masahani ya karanga za kukaangwa na kuchemshwa kama biashara yao!!
Wakuu nielewk sio kwamba nina criticise wao kufanya biashara hapana,,tatizo ni kwamba hawa vijana bdo wana nguvu inakuwaje kushinda mjini wanatembeza karanga tena unakuta kwenye ungo ana karanga hazifiki hata za elfu tano,, anaweza kuwa nazo za elfu mbili au elfu tatu!!
Vijana hawa wanawezaj kuendsha maisha kwa kutmbeza karanga za elfu mbili kwa,siku na huenda karanga zenyew zisiishe kwa siku moja so ataenda nazo mpka kesho hizo hizo za elfu mbili.
Kwa maono yangu Mbeya ni mkoa kati ya mikoa iliyobarikiwa kwa kuwa na hali nzuri ya hewa na ardhi ni kubwa tu ya kutosha sasa kwanini hawa vijana wasijiajiri kwenye kilimo kuliko kuhangaika mijini na vikaranga vya elfu mbili mbili??
Maeneo niliyofanikiwa kufika mfano Mwanza,,Dodoma,Dar es salaam sijaona sana biashara hii ikifanywa na wanaume.
Kwa anaeelewa nin tatizo au sababu ya vijana hawa kujihusisha na shughuli hizi ambazo kwenye mikoa mingi tumezoea kuona wanawake ndio wakizifanya anieleweshe niondokane na mawazo haya…!!! Nawasilisha.