Taxify mnatuumiza madereva badilisheni nauli

arawa

Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
15
Reaction score
19
Huduma ya Tax kwa njia ya mtandao imekuwa suluhisho kwa abiria wengi kinachoshangaza haya makampuni waameweka nauli ndogo zinazomfaidisha mteja na sio dereva UBER na Taxify mnafanya madereve kuachana na biashara hii kwan hailipi kabisa mm binafsi nilikuwa nafanya biashara hii mf kutoka makumbusho mpaka Africana mbezi 4000 hapo unatumia AC Njia nzima kweli hii bei sio realistic badilishen bei zetu just mbalance upande wa dereva na Mteja!!!
 
1km/tsh ni shingapi alafu ramani zetu ndizo zinachangia
 
Huduma ya Tax kwa njia ya mtandao imekuwa suluhisho kwa abiria wengi kinachoshangaza haya makampuni waameweka nauli ndogo zinazomfaidisha mteja na sio dereva UBER na Taxify mnafanya madereve kuachana na biashara hii kwan hailipi kabisa mm binafsi nilikuwa nafanya biashara hii mf kutoka makumbusho mpaka Africana mbezi 4000 hapo unatumia AC Njia nzima kweli hii bei sio realistic badilishen bei zetu just mbalance upande wa dereva na Mteja!!!
Zima a/c tatizo nyie mkishaona mdada mzuri lazma muanze kujishaua na a/c
 
Zima a/c tatizo nyie mkishaona mdada mzuri lazma muanze kujishaua na a/c[/QUOTE
Hapo pagumu vipi kuhusu zile bonus wanatoa au wamesitisha? Nina runx yangu nilitaka kujiunga taxify wakasema niende tra kulipa Kodi na police kufanya mabadiliko ya matumizi ya gari kuwa commercial naona mlolongo
 
Kwahiyo kutoka Makumbusho hadi Mbezi beach ulitaka iwe bei gani mkuu arawa ??? Ila hapo kuna haja ya kubadilisha bei manake fuel saivi imepanda pia
Nje ya mada
stroke =arawa naona profile zenu zinafanana??
 
1544088022826.png
 
Naona mkuu arawa kavamia Avatar,mkuu hii inaleta mkanganyiko kwa members.
 
Huduma ya Tax kwa njia ya mtandao imekuwa suluhisho kwa abiria wengi kinachoshangaza haya makampuni waameweka nauli ndogo zinazomfaidisha mteja na sio dereva UBER na Taxify mnafanya madereve kuachana na biashara hii kwan hailipi kabisa mm binafsi nilikuwa nafanya biashara hii mf kutoka makumbusho mpaka Africana mbezi 4000 hapo unatumia AC Njia nzima kweli hii bei sio realistic badilishen bei zetu just mbalance upande wa dereva na Mteja!!!
Heri umeliibuwa hili, kwa kweli nauli kwa wateja siyo realistic kabisa, kuna expenses ambazo hawa @uber na @Taxify wanajifanya hawazijuwi, kuanzia vipuri, bei ya petroli (hasa sasa), usafi wa gari kila siku kama siyo kila baada ya masaa fulani, pressure kwenye matairi kila baada ya siku 3 au 4, service, adha kwa madereva, yale ya wateja kuweka destination fulani kumbe wanaingia ndani zaidi na hata wengine kujifanya wanamshusha huyu au yule along the way, yaani ni shida...
 
Nadhani wanausoma Uzi huu wahusika
 
Acha ujinga wewe! Uliponunua gari walikupunguzia bei ili upate ya kununulia vipuri,, au ya kujazia upepo!??

Tatizo sisi wabongo, mambo ya ujanja ujanja tunapenda sana na faida ya kuwa tajiri siku mbili tu.
 
Acha ujinga wewe! Uliponunua gari walikupunguzia bei ili upate ya kununulia vipuri,, au ya kujazia upepo!?? Tatizo sisi wabongo, mambo ya ujanja ujanja tunapenda sana na faida ya kuwa tajiri siku mbili tu.
Jibu zuri kweli?!
 
Acha ujinga wewe! Uliponunua gari walikupunguzia bei ili upate ya kununulia vipuri,, au ya kujazia upepo!??

Tatizo sisi wabongo, mambo ya ujanja ujanja tunapenda sana na faida ya kuwa tajiri siku mbili tu.
Naombeni wazo je nikijiunga taxify kwa sasa sitajutia maamuzi?
 
Magari mengi yanayotumika ni fuel economic, kwamba hayatumii mafuta sana. Sasa kama ist inaweza kwenda 19.6KM per lita,, unalalamika nini? lita moja hata ingeuzwa 2500/= bado unapata faida tu.

Halfu jifunzeni namna ya ku-leverage.
 
Huduma ya Tax kwa njia ya mtandao imekuwa suluhisho kwa abiria wengi kinachoshangaza haya makampuni waameweka nauli ndogo zinazomfaidisha mteja na sio dereva UBER na Taxify mnafanya madereve kuachana na biashara hii kwan hailipi kabisa mm binafsi nilikuwa nafanya biashara hii mf kutoka makumbusho mpaka Africana mbezi 4000 hapo unatumia AC Njia nzima kweli hii bei sio realistic badilishen bei zetu just mbalance upande wa dereva na Mteja!!!
Acheni kuvhezesha madishi pumbavu zenu.
 
Back
Top Bottom