ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Sijajua tatizo hasa ni wapi, abiria wapo wengi mpaka kuzidi na tunalipa cash,
Gerezani kituo kikubwa saa 8 mchana huu dirisha la ticket moja ndio linafanya kazi,
Mabasi hasa ya kimara baada ya kushusha abiria dereva anajifikiria kwanza ama apakie abiria au aondoke na watu wa kuzunguka nao au achati kwanza.
Kiukweli ni shida tupu kwa Safari hasa za Kimara,Route Pekee iliofanikiwa ni gerezani -muhimbili... Hongeren Kia route hiyo,, sasa tutegemee route zote ziwe ktk mtiririko huo vinginevyo itakuwa ngumu sana kulihudumia jiji lote la dar es salaam kama ilivyokuaga uda ya enzi za mwalimu
La muhimu kwenu ma supervisor na madereva mjiweke kids biashara zaidi, sisi wateja tunapoamua kutumia usafiri huu ni kwamba tunataka kuwahi huko kwenye shughuli zetu na si kuja kuganda vituoni dakika 30 Nina, kanakwamba tunapanda bure!
Jirekebisheni Dart