USHAURI KWA NIABA YA HAIBA YA MSHIKAJI

USHAURI KWA NIABA YA HAIBA YA MSHIKAJI

KISODANAZI

New Member
Joined
Dec 4, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Kuna mwanangu mmoja amekuwa akipata sifa nyingi juu ya haiba ya muenekano wake kupitia mabinti wengi ikiwamo hata washkaji kwa kumuambia ana muenekano bomba sana lakini chakushangaza akiingia kwenye mahusiano na hao hao mabinti wanao msifia huwa mahusiano yake hayawezi kudumu.

Ukweli jamaa hana makuu kuanzia kwa washakji mtaani laknini amekuwa akichukiwa bila sababu hususani na wanaume,jamaa ni mtu wa watu lakini kama hana bahati ya washkaji wa ukweli wala mpenzi wa ukweli,nimekuwa nae karibu miaka mingi lakini nimekuwa nikijiuliza kwann watu humsifia then kesho yake wakamchukia.

Hebu tuone mawazo yetu kama binadamu cz kutakuwa na shida tu.
 
Back
Top Bottom