soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,114
- 2,339
Hivi Baba wa familia akisema haya kwa watoto wake tumueleweje?
- Wanangu mtaishi kama mashetani....Labda hatupendi au? Au huenda tumeudhi?
- Wanangu atakayeendelea kubaki hapa mjini ni kidume...Sasa hizi ni chuki au mji umejaa na hataki watu mjini!!
- Wanaolia hali ngumu ni wapiga dea na wakwepa kodi...Fine wapiga dili wanafunga biashara! Je nguvu kazi wanaokosa ajira nao ni wapiga dili? Je, mapato tutatoa wapi?
- iiiiiiiiiiiihi yaani ikupe mshahara na gari ati utangaze upinzani!! Sasa Baba kwani wewe ndio unayewaamulia wananchi waongozwe na nani?