UCC tawi la Mwanza mnapatikana wapi?

UCC tawi la Mwanza mnapatikana wapi?

Kibwagizo

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
130
Reaction score
8
Mwanzoni walikuwa posta wakahamia kapripoint jirani na BOT,sasa hawapo tena.Mwenye kujua wapi wamehamia jamani asaidie, watu wengi nilikuta wanaangaika.
MWENYE KUJUA WALIKOAMIA ASAIDIE
 
Unamaanisha wale University Computing Centre (UCC)?

Walihamishia Kenyatta Road karibu na Chalinze Tyre Service au ukiwa unatoka kwenye jengo refu la NSSF fuata hiyo barabara kwenda kusini (kama unaenda Shinyanga) mwendo kama wa 1 km hivi kuna kituo cha dala dala (Express) za kutoka Nyegezi kwenda Airport upande wa kulia kwako. Mbele ya hicho kituo kuna jengo kama la ghorofa 3 au 5 hivi (sikumbuki vizuri - maana siyo kazi yangu kuhesabu maghorofa) ingia hapo ndani ndipo mahali walipo pia utaona kwa nje wameandika ukutani hilo jina lao na shughuli wanazozifanya (mtindo wa bango hivi). Kwenye hilo jengo pia kuna Bank ya Posta.
 
Mkuu kwenye jengo la posta walikuwepo toka zamani wakahamia Kapri-point katika jengo moja na mount meru, leo nimefika mlinzi akasema wana siku kama nne wamehama, ila bango lao bado lipo pale kapripoint, kaniambia anahisi wamehamia Pamba road ila nimezunguka Maeneo ya pamba road bila mafanikio.
 
Pole sana Mkuu ndo kampuni za Kitanzania hizo! Wanahama bila kuweka kielelezo kwamba wamehamia wapi? Ndo maana biashara zetu hazishindani kimataifa. Basi inabidi uwapigie simu makao makuu ili wakuelekeze au jaribu hii namba ambayo iko kwenye bango lao la utambulisho wa tawi la Mwanza 0784 373780.
 
Hujaambiwa jengo la posta, umeambiwa bank ya posta pembeni yake kuna kituo cha daladala za kwenda aiport na ilemela, kwenye hilo ghorofa kuna ofisi pia za zanzibar insurance na mfuko wa pension wa LAPF
Mkuu kwenye jengo la
posta walikuwepo toka zamani wakahamia Kapri-point katika jengo moja na
mount meru, leo nimefika mlinzi akasema wana siku kama nne wamehama, ila
bango lao bado lipo pale kapripoint, kaniambia anahisi wamehamia Pamba
road ila nimezunguka Maeneo ya pamba road bila mafanikio.
 
Hujaambiwa jengo la posta, umeambiwa bank ya posta pembeni yake kuna kituo cha daladala za kwenda aiport na ilemela, kwenye hilo ghorofa kuna ofisi pia za zanzibar insurance na mfuko wa pension wa LAPF

Ila watu bana nikosolewe na niliyemjibu kuliko wewe hata msaada wako sijauona.Hata Gold Crest ni hotel lakini watu wengi wanasema jengo la Gold Crest mwanza. Hapo upo?
 
Pole sana Mkuu ndo kampuni za Kitanzania hizo! Wanahama bila kuweka kielelezo kwamba wamehamia wapi? Ndo maana biashara zetu hazishindani kimataifa. Basi inabidi uwapigie simu makao makuu ili wakuelekeze au jaribu hii namba ambayo iko kwenye bango lao la utambulisho wa tawi la Mwanza 0784 373780.

Ubarikiwe komredi, ngoja asubuhi niwapigie
 
Unapajua???
Hujaambiwa jengo la posta, umeambiwa bank ya posta pembeni yake kuna kituo cha daladala za kwenda aiport na ilemela, kwenye hilo ghorofa kuna ofisi pia za zanzibar insurance na mfuko wa pension wa LAPF
 
Mkuu kwenye jengo la posta walikuwepo toka zamani wakahamia Kapri-point katika jengo moja na mount meru, leo nimefika mlinzi akasema wana siku kama nne wamehama, ila bango lao bado lipo pale kapripoint, kaniambia anahisi wamehamia Pamba road ila nimezunguka Maeneo ya pamba road bila mafanikio.

Nao wanahama kama siyo wasomi yaani hata bila kuweka bango elekezi la mahali walipo?
 
Back
Top Bottom