getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Nimevutiwa na kile anachokifanya Diamond anajitoa kurudisha kwa jamii kile anachokipata.!
Naamini kwa Tanzania yeye ndio atakuwa msanii wa Kwanza kuwa na shule ya serikali inayoitwa kwa jina lake shule ya msingi Diamond platnumz.!
Unaweza kuwa na pesa nyingi na ufahari mwingi lakini miaka michache baada ya kifo chako kila kitu kinaweza sahaulika kabisa katika jamii.
Unaweza kuwa mwanasiasa mahiri lakini baada ya muda mchache baada ya kifo chako kila mtu akakusahau kabisa mfano,
Jinsi Mch, christopher Mtikila anavyopotea taratibu katika kumbukumbu za watu.
Au Morgan Tsvangirai wa wa Zimbabwe anavyotea taratibu..
Abdul Nasib Juma katika umri wake amejijengea heshima na kumbukumbu kwa kizazk chake.! Hata kesho asipokuwepo bado Shule yenye jina lake itaendelea kutoa wasomi. Na madarasa yake yataendelea kuwa kimbilio kwa watoto wa maskini wengi wa Nchi hii..
Sina kumbukumbu kama kuna mwanamziki mwingine wa kizazi kipya aliyewahi pata heshima kama hii japo tumekuwapo na wasanii wanaojiita ama kuitwa wasanii wakubwa hakuna alie wahi kuwa na hadhi kama yako.!
Hongera sana Abdul Naseeb Juma a.k.a Diamond platnumzii.
Mwisho.ushauri wangu usije ukashawishika ama kurogwa kupata tamaa ya kuingia kwenye siasa! Ama watakaokwambia utafaa kuwa mbunge.!
Nakuomba ukatae kwani huo utakuwa mtego na bila shaka muelekeo wa Anguko lako.! Mungu akusimamie upate washauri wazuri wanaojua kitu gani utapaswa kufanya na kwa wakati gani.
Hongera Diamond.