Isombilege
Member
- Jul 22, 2018
- 92
- 54
Mimi sio msomi lakini naweza kutoa yamoyoni mwangu.
Watoto wangu wanapaswa kuukulia utaifa kwa kutazama mambo ya kitaifa hata wakiyaona kwenye Television wajue hili nijambo la Kitaifa .
Sasa hii habari ya kuondoa sherehe za UHURU wa Taifa kwakweli mimi binafsi sioni kama nisawa .
Ningependekeza siku kuu ya uhuru na sherehe zake liwemo kwenye katiba ili kuepuka mambo kama haya. Sherehe ziahirishwe endapo labda nchi iko vitani .
Mheshimiwa RAIS najua anayonia njema ya kubana matumizi lakini siku Taifa likimpata Mwenye nia ovu anaweza ibadiri hii tarehe hiwe birthday yake au ya mwanae