Wanaotaka kwenda zambia kuishangilia Simvba SC pitia hapa

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Screenshot_20181208-143341.png
 
Naruhusiwa kwenda nimevaa sare ya Nkana Red Devils au Yanga?

Answer my question without vexation, I beg you!
 
Ok. Mi natabiri simba kutolewa tena.
Naiombea simba icheze vizuri ila Nkana Red Devils wawe na bahati kama Yanga msimu huu.
 
Mara ya mwisho simba kwenda Zambia matokeo yalikuwa hivi
FB_IMG_15443430811435479.jpg
 
Hivi wale waliokwenda Lesotho walisharudi au bado wapo njiani? Watu wasije enda wasirudi. Ni angalizo maana kuna uzi humu kuhusu wa Lesotho nadhani kwa mara ya mwisho walikuwa tunduma
 
Unajitafutia kifo kwa wapenzi wa simba labda utafute usafiri wako pekee
Kuna mkuu hapo juu kaniambia jezi za Nkana Red Devils na za simba zinafanana. Nikawa najiuliza kama hakutakuwepo na mashabiki wa yanga watakaoongozana na simba ndani ya jezi ya Nkana Red Devils
 
Kwani bikini ni jezi ya mojawapo ya timu za mpira wa miguu?

Mwanaume atapendeza kwa bikin kweli kama sio povu?

UOTE="Rayban/p, post: 29539846, member: 298244"]Maana yake nikwambaa unaruhusiwa kuvaa chochotee hataa jezi za chama pendwaa sawa tuu Ila me nkaoneleaa kitakachokupendeza zaidii [/QUOTE]
 
Back
Top Bottom