Viagra ugunduzi wa bahati mbaya

Viagra ugunduzi wa bahati mbaya

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
2,101
Reaction score
5,442
Inasemakana kwamba zaidi ya watu milioni 30 huko Marekani wana matatizo ya nguvu za kiume huku idadi ikiwa zaidi ya watu milion100 duniani.
Viagra ilitengenezwa na Pfizer kwa lengo la kutibu Shinikizo la damu na maumivu ya kifua. Lakini wakati wa majaribio ikagundulika ilikuwa inasababisha mwanaume kusimamisha uume kwa muda mrefu ikimpa uwezo wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu zaidi. Dawa hii ilionekana kuwa na matokeo yasiyokusudiwa (side effects) za kusimamisha uume kwa usahihi kuliko hata kutibu kile kilicholengwa.
Hii ilikuwa ni nafasi ya kibiashara na mwaka 1998 FDA waliipitisha kutumika kwa ajiri ya kuongeza nguvu za kiume.
v1.jpg

Je unajua dawa uwa intambua vipi eneo la kutibu
Jibu ni kwamba dawa huwa haijui wapi pa kutibu, ukimeza inaingia kwenye damu na kusambaa mwili mzima ikifika eneo lililo na tatizo italishughulikia na ndo maana kwakuwa haiwezi lenga eneo husika tunapata side effects. Mfano tiba ya mionzi kwa wagonjwa wa kansa inalenga kuua cell zinazokuwa kwa haraka sana, hii upelekea nywele kunyonyoka kwakuwa ile mionzi pia ushambulia cell za nywele kwakuwa nazo zinakua haraka.
Hata ugunduzi wa viagra side effect ilikuwa kusimamisha msuri kwakuwa dawa haiwezi kulenga sehemu husika.
Itawezekana kwa maendeleo ya teknolojia huko mbeleni dawa kupelekwa kwenye sehemu husika ila kwasasa ni bado...
 
Kama zimepitishwa na mamlaka za dawa huko duniani,acha waendelee kuzitumia hao wenye hayo matatizo mfano wazee n.k
 
lakini kiongozi zinaua watu...naskia zinashusha presha unaweza ukafa kama ni mtumiaji sana wa hizi dawa
 
Ni kweli zina madhara,na dawa zote ni sumu kama zitatumiwa nje ya utaratibu.Sasa wenye hayo matatizo inabidi watafute njia mbadala kutatua changamoto zao.
 
Inasemakana kwamba zaidi ya watu milioni 30 huko Marekani wana matatizo ya nguvu za kiume huku idadi ikiwa zaidi ya watu milion100 duniani.
Viagra ilitengenezwa na Pfizer kwa lengo la kutibu Shinikizo la damu na maumivu ya kifua. Lakini wakati wa majaribio ikagundulika ilikuwa inasababisha mwanaume kusimamisha uume kwa muda mrefu ikimpa uwezo wa kufanya mapenzi kwa muda mrefu zaidi. Dawa hii ilionekana kuwa na matokeo yasiyokusudiwa (side effects) za kusimamisha uume kwa usahihi kuliko hata kutibu kile kilicholengwa.
Hii ilikuwa ni nafasi ya kibiashara na mwaka 1998 FDA waliipitisha kutumika kwa ajiri ya kuongeza nguvu za kiume.
View attachment 960584
Je unajua dawa uwa intambua vipi eneo la kutibu
Jibu ni kwamba dawa huwa haijui wapi pa kutibu, ukimeza inaingia kwenye damu na kusambaa mwili mzima ikifika eneo lililo na tatizo italishughulikia na ndo maana kwakuwa haiwezi lenga eneo husika tunapata side effects. Mfano tiba ya mionzi kwa wagonjwa wa kansa inalenga kuua cell zinazokuwa kwa haraka sana, hii upelekea nywele kunyonyoka kwakuwa ile mionzi pia ushambulia cell za nywele kwakuwa nazo zinakua haraka.
Hata ugunduzi wa viagra side effect ilikuwa kusimamisha msuri kwakuwa dawa haiwezi kulenga sehemu husika.
Itawezekana kwa maendeleo ya teknolojia huko mbeleni dawa kupelekwa kwenye sehemu husika ila kwasasa ni bado...
Viagra wamepiga hela ndefu sana. Inasadikika kwa kila sekunde duniani watu nane wananunua. Ni kwa lodilofa tuu hii makitu iligoma kufankshen
 
Kumbe basi zinaweza kuwa dawa za kutibu pressure ya juu.
Lakini sasa mbona wanaume wenye hypertension hawaandikiwi hizo dawa mahosipitalini? Ili ziwe dawa kwao na burudani pia katika ndoa?
 
Kwa kweli huwa inanipa heshima mtaani.ukipiga ile na ukiingia kazini ubora wabkazi huwa unakuwa wakuridhisha
 
Back
Top Bottom