Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ni mteja wa Azam tv baada ya kutokea seke seke la chanel za ndani had lilipoisha Azamtv chanel hazkurudi na kibaya zaid hakuna taarifa kwa sisi wateja kutoka azam wala mamlaka ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
(Guardian leo 15/12/2018) Kama kuna athari za machinga hujaziona, basi pita mtaa huo wa Uhuru/Congo ujionee. Mkandarasi hata mahali pa kumwaga kifusi hakuna, utitiri wa machinga upo kila kona...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Bado kuna watu ndani ya jukwaa hili ambao toka enzi za nyerere akili zao huwa zinawaza ulaya. Kwa taarifa yako tunao kujua ulaya ni kwa kawaida sana, na maisha ya kule ni magumu sana wala hakuna...
7 Reactions
63 Replies
5K Views
Protocol observed. Wakuu kuna mtu anahitaji chuo kinachofundisha masuala mbali mbali ya ujasiliamali ili aweze kuongeza wigo wa kupambana na maisha. Jitihada za kujaribu kupiria website mbali...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mwewe ni ndege hatari sana kwa vitoto vichanga ( kuvidonyoa) na pia kwa kuku au bata hasa vifaranga. Mwewe alivyomshenzi , anakula vifaranga ambavyo viko ndani ya banda lililowekwa uzio wa wavu...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Hii ni sehemu mashuhuri saana South africa. Hizi sanamu ni za mashujaa walioupinga ubaguzi wa rangi, kupigania uhuru na kusimamia haki nchini South africa. Wapo pia wa kutoka nje ya South africa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa hii nyumba niliyofikia hawa wenyeji wangu wanapata vipi usingizi. Kunguni niliowaona baada ya kulinyanyua godoro ni wengi utadhani mchanga umemwagwa hapo kitandani! Siwapendi...
6 Reactions
152 Replies
16K Views
Ndugu katika mishemishe za maisha nimesafiri mkoa mmoja hivi. Ikanilazimu kufikia nyumba ya wageni. Kama mjuavyo, vyuma vimekaza, nikatafuta nyumba ya wageni yenye gharama nafuu ili nisitoboke...
0 Reactions
116 Replies
9K Views
Hivi huyu dada siwampe kazi nyingine Wasafi maana kuimba hajui. CD inambeba ikizimwa bora ya mimi naweza kuimba. Kweli nilipe pesa kumwangalia huyu mama. Hapana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sio siri tena wapo Viongozi wa madhehebu wanaishi ki fahari na kumiliki Mali nyingi kwa mgongo wa dini. Huenda inatafutwa namna bora makusanyo kodi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Greed consuming Tanzania's Oil and Gas exploration I was sitting at a table in a hotel in Dar es Salaam recently and I overheard what I can only describe as a sordid story of greed and...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hiyo hali mbaya i-wapi? Mfano,nipo hapa mahali fulani watu wanaendelea na agenda zao na mambo yao kama kawaida.Hawana habari za eti nchi ama umoja fulani umetoa tamko lolote! Tusijidanganye humu...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi wakuu mtu ukimpa Asilimia mia kuna shida gani? Hawa Tukta wanaoomba Asilimia 50 wanatarajia watapewa ngapi? Waliagizwa na nani? Tuacheni woga wakuu
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukatili unaondelea kufanywa na fastjet cio wa kufumbia macho yapata wiki nzima ss abiria hawasafir kwa wakati ndege zinaairshwa bila kupewa taarifa Leo asubh nilitakiwa kusafir kutoka mwanza kwena...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Niko naangalia uzinduzi wa Channel ya Utalii TBC Live Timu ya ufundi ni wabovu mno na mtangazaji pekee aliyeni impress walau kuonyesha vivutio ni wa mbuga ya mikumi tu hao wengine wa ngorongoro...
9 Reactions
34 Replies
5K Views
Je ni vitugani hutambulisha makabila ya watanzania? Naomba nianze na hii kifo cha mende - Wachagga, naombeni mnisaidie kutaja na makabila mengine
0 Reactions
2 Replies
786 Views
My take: kopa,kopa,kopa
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nahisi uzembe ndiyo uliosababisha kifo cha mwanamgu, nianzie wapi wadau? Ilikua hivi... Ni mtoto mdogo wa miezi miwili, tulimfikisha hospitali kubwa tu na yenye jina akiwa anasumbuliwa na tatizo...
15 Reactions
185 Replies
22K Views
Mimi ni mgeni hapa jijini siku ya tatu sasa toka nimefika. Nimekuwa nikilisikia jiji hili kwa muda mrefu na nikitamani kufika. Kwa hizi siku tatu moja ya mambo yaliyonishangaza ni kuona wanaume...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Kama JF mods watakuwa wanafuta NYUNDO zinazoponda na kusawazisha JIWE; Je, tutafika? Nyumba itajengwaje bila nyundo kuponda jiwe?Au tuponde dogo? Kama viongozi wetu hawasikilizi maoni ya raia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…