Nataka kujua kwa uelewa wako baada ya Rais wa Jamhuri kuzindua ugawaji wa vitambulisho hivi vya mjasiriamali mdogo chini ya mtaji wa sh 4mil je nini ni Faida ambazo mjasiriamali na serikali...
Nimebahatika kupata kazi katika chuo kimoja cha elimu cha Botswana, baada ya kukosa ajira Tanzania.
Sasa nauliza wadau mnaojua machache kuhusu nchi hii mnijuze.
Kila siku katika maisha yako hakikisha unafuata sheria na hujiweki au kufanya jambo katika mazingira ambayo yatahatarisha uhuru na usalama wa maisha yako.
Kweli misemo ya kiafrica ukiifuatilia...
Mzuqa
Yani utakuta mijitu inachezea pesa kusafiri maili na maili kuja kupanda mlima tu na hawaogi siku saba nzima kufika kileleni kilimanjaro.
Mengine eti yanaenda kuona ndege bird watching na...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampeni ya kumeza dawa ya kinga ya magonjwa ya minyoo ya...
#DUNIAYAKO No.1
Tuliambiwa kijana anaitwa Obama, kijana mweusi kutoka Afrika Mashariki, Kenya. We! Utachekwa. Muulize aliyekuwa makamu wa raisi Dick Cheney atakuambia Obama ni nani, mbele ya macho...
Kuna jamaa ameanzisha uzi humu akiomba ushauri wa kuwa Vegetarian.
Kwa vile uzi huu unagusa kila mtu nimeona niandike hapa ili kila mtu afaidike na historia yangu ya kula nyama.
Mwaka 1993 ndo...
Nyumba 157 yakiwamo majengo ya serikali zimebomolewa na upepo mkali ulioambatana na mvua iliyonyesha juzi Wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi.
Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Rukia...
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai na fikra ya hoja ya vyuo feki Tz ambavyo havibadiliki na kuendana na "slogan" ya nchi -"Tanzania ya Viwanda".
Vipo vyuo ambavyo vinaendesha...
Kuna tofauti ya kupanda na kushuka kwa bei za mafuta Kenya na Tanzania, wakati Kenya bei ikishuka kwa ksh 4.57 ambayo ni sawa na Tsh 100, Tanzania bei ya mafuta imepanda kwa Tsh 40 petrol, 50...
Siku hizi Tz kila mmoja hujifanya mtaalamu wa lishe na afya. Hivi vipindi vya Tv vya akina Dr.Ndodi, Dr.Mwaka ambavyo viko kibiashara vimewatia watu ujinga sana. Wanachofanya ni kuwapa watu hofu...
Britain’s Fraud Office Investigates Acacia Mining
The allegations over corruption in Tanzania are also being looked at by Tanzanian officials
Barrick Gold Executive Chairman John Thornton has...
Thanks to China Government, naona Lile Jengo jipya limefanya walau chuo chetu kirejeshe hadhi ya Chuo kikuu,
Again, as we may be aware, UDSM ndio Chuo Mama Tanzania, asilimia kubwa ya wataalamu...
Sio kila mmoja hufurahia kula peke yake, Baadhi ya watu hawapendelei kula peke yao huku wengine wakihofia huenda wakijihisi upweke kiasi cha kupoteza hamu ya kula chakula.
Uchunguzi mdogo...
Tokea saa 8 mbagala Kijichi Hatuna Umeme hadi saa hizi inaenda saa tano na si Leo tu wiki yote ni kubahatisha tu unakatwa unarudi na joto hili aisee mnatutesa sana !
Mbaya zaidi hakuna taarifa...
Dodoma. Watu watatu wa familia moja wamekutwa wamekufa ndani ya nyumba waliyokuwa wakiishi huku miili yao ikionyesha kuwa wamechinjwa.
Tukio hilo lililotokea katika kijiji cha Mayamaya kitongoji...
Mkurugenzi wa Namaingo akiwa katika harakati za kuhamasisha wanavijiji kufuga nyuki kibiashara
Na pia dhana ya kuongeza thamani zao hilo hapa ilikuwa jana kijiji cha kikale kibiti
Wanakijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.