Queen Darlin wasafi fest

Queen Darlin wasafi fest

one by one

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
5,835
Reaction score
9,330
Hivi huyu dada siwampe kazi nyingine Wasafi maana kuimba hajui. CD inambeba ikizimwa bora ya mimi naweza kuimba. Kweli nilipe pesa kumwangalia huyu mama. Hapana.
 
Lakini huyu ana mjukuu sijui anachezaga na mjukuu saa ngapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom