Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Hii ni sehemu mashuhuri saana South africa. Hizi sanamu ni za mashujaa walioupinga ubaguzi wa rangi, kupigania uhuru na kusimamia haki nchini South africa.
Wapo pia wa kutoka nje ya South africa kama Haile Selasie na Mzee Castro.
Vipi mwalimu hawamjui au yeye mchango wake ulikuwa mdogo kulinganisha na hawa wengine! Au wataweka maana utaratibu wao wanazi-update kila mwaka.