Eti hali mbaya!

Eti hali mbaya!

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,198
Hiyo hali mbaya i-wapi?

Mfano,nipo hapa mahali fulani watu wanaendelea na agenda zao na mambo yao kama kawaida.Hawana habari za eti nchi ama umoja fulani umetoa tamko lolote!

Tusijidanganye humu Jf Watanzania wengi hawana habari kabisa na UPUUZI wowote unaopandikizwa na MAJUHA FULANI!

Na kwa yeyote anayejipatia matumaini eti ya wapi yatatukokea Watanzania,ANAJIDANGANYA!

Watz wa kweli anaendelea na majukumu yao ya kawaida na ya kila siku kwao. Uzushi na mabaya wamewaachia wataka madaraka kwa nguvu wahangaike nayo.

#Tz ni nchi huru.
 
Ni watu wachache sana duniani ndio huelewa dunia inavyokwenda the rest huwa hawajui kinachoendelea huhitaji kuongozwa kama kipofu.
 
Ni watu wachache sana duniani ndio huelewa dunia inavyokwenda the rest hawajui huhitaji kuongozwa.
Asilimia kubwa ya Watz hawako kama vile tunavyojidanganya humu jf na jaribu kutafiti tu hata unapopita mtaani wala hawana habari na upuuzi wa WAPUUZI!
 
Hali ni nzuri sana mkuu kuliko kipindi chochote toka kupata uhuru.

Tuko kwenye right track.
 
Hiyo hali mbaya i-wapi?

Mfano,nipo hapa mahali fulani watu wanaendelea na agenda zao na mambo yao kama kawaida.Hawana habari za eti nchi ama umoja fulani umetoa tamko lolote!

Tusijidanganye humu Jf Watanzania wengi hawana habari kabisa na UPUUZI wowote unaopandikizwa na MAJUHA FULANI!

Na kwa yeyote anayejipatia matumaini eti ya wapi yatatukokea Watanzania,ANAJIDANGANYA!

Watz wa kweli anaendelea na majukumu yao ya kawaida na ya kila siku kwao. Uzushi na mabaya wamewaachia wataka madaraka kwa nguvu wahangaike nayo.

#Tz ni nchi huru.
Mkuu ukishindaa humu jf unaweza fikiri nchi imekwamia kabisa buguruni na aiendi na vyakula hakuna na vilivyopo havinunuliki na magari hayaendeshwi
 
Asilimia kubwa ya Watz hawako kama vile tunavyojidanganya humu jf na jaribu kutafiti tu hata unapopita mtaani wala hawana habari na upuuzi wa WAPUUZI!
Kama jiwe ana habari ya resolution ya EU anatosha.
 
Ni watu wachache sana duniani ndio huelewa dunia inavyokwenda the rest huwa hawajui kinachoendelea huhitaji kuongozwa kama kipofu.
Sure
FB_IMG_1544788233549.jpeg
 
Hiyo hali mbaya i-wapi?

Nadhani unangojea foleni za petrol na diesel kwenye vituo vya kuuzia mafuta ndio utaanza kujua kuwa hali ni mbaya kwani bila ya shaka bei ya unga na maharage toka bara itapanda!!!
 
Hiyo hali mbaya i-wapi?

Mfano,nipo hapa mahali fulani watu wanaendelea na agenda zao na mambo yao kama kawaida.Hawana habari za eti nchi ama umoja fulani umetoa tamko lolote!

Tusijidanganye humu Jf Watanzania wengi hawana habari kabisa na UPUUZI wowote unaopandikizwa na MAJUHA FULANI!

Na kwa yeyote anayejipatia matumaini eti ya wapi yatatukokea Watanzania,ANAJIDANGANYA!

Watz wa kweli anaendelea na majukumu yao ya kawaida na ya kila siku kwao. Uzushi na mabaya wamewaachia wataka madaraka kwa nguvu wahangaike nayo.

#Tz ni nchi huru.
Mtanzania maskini yupo bize kitaa kutwa nzima kuhakikisha anapata mkate wake wa kila siku

Hawa ambao wako bize kucoment humu masaa 24 kuilalamikia serikali wameendelea kimaisha huo ndio ukweli. (simu za gharama, vocha, MB za kutosha)

Ila "shukrani ya punda ni mateke"
 
Duniani kuna watu wa aina tatu;

1. Wale wanaoona vitu kwa macho yao wenyewe.
2. Wale wanaoona baada ya kuonyeshwa na wengine.
3. Wale wasioona wenyewe lakini wasioona ata baada ya kuonyeshwa na wengine.

Kati ya namba 2 au 3 mojawapo inakuhusu hapo.
 
Wanachohitaji wazungu ni mrejesho wa mapendekezo yao 15 toka kwa Jiwe. Hayo ya watanzania kutojua kinachoendelea unayajua wewe. Wazungu wanahitaji majibu ya utekelezaji wa tamko lao. Jiwe amelewa bila kutumia kileo, tusijidanganye kwamba yuko sawa mentally and emotionally.
 
Mkuu Mdudu halisi umesema yote, waache waendelee kuimba propaganda zao huku, mwisho wa Siku majibu yanatakiwa na wakubwa huko ulaya na marekani.
 
Back
Top Bottom