Robert greene Member Joined Nov 11, 2018 Posts 39 Reaction score 26 Dec 15, 2018 #1 Je ni vitugani hutambulisha makabila ya watanzania? Naomba nianze na hii kifo cha mende - Wachagga, naombeni mnisaidie kutaja na makabila mengine
Je ni vitugani hutambulisha makabila ya watanzania? Naomba nianze na hii kifo cha mende - Wachagga, naombeni mnisaidie kutaja na makabila mengine
kirikou1 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 4,818 Reaction score 6,547 Dec 15, 2018 #2 Kumbe kifo cha mende asili yake ni miteremko ya mlima kilemakyaro 😓
NGERESHAA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 1,308 Reaction score 1,815 Dec 15, 2018 #3 Waliobaki wote-mbozi kagoma kwenda na michezo ya A na R