Jambo lililonishangaza kwa wanaume wa Dar es salaam

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,479
Reaction score
11,671
Mimi ni mgeni hapa jijini siku ya tatu sasa toka nimefika. Nimekuwa nikilisikia jiji hili kwa muda mrefu na nikitamani kufika.

Kwa hizi siku tatu moja ya mambo yaliyonishangaza ni kuona wanaume wamebebana kwenye pikipiki abiria kamshikiria dereva kiunoni. Jana nilipishana na pikipiki moja leo nimepishana na mbili ziko hivyo. Sasa wazoefu wa dar mnijuze hii ni kawaida au imewatokea hawa tu maana kule kwetu sijawahi ona hii na ikitokea itakuwa ajabu
 
Unalambalamba nini?tuanzie hapo.
 
Mwenye mji ndo anataka sasa wewe MTU kuja unatakaje?
 
Nilisikia wanalala nje ya nyumba zao kwa ajili ya kuogopa chatu,inawezekana wanaogopa kuanguka..wanaume wa dar nafwaaaa
 
Back
Top Bottom