Unakuta jirani wa kike sio mzuri sana wa kawaida tu si unajua kuna siku za kuzidiwa unajaribu kumuapproach jiran anakuwa mkali anakujibu hovyo kibingwa unakubali yaishe tu maisha yaendelee.
Siku...
Yap! Nguvu za kiume ambazo kwa sasa ni gumzo.
Zamani tulikuwa na utaratibu kila msimu wa mwaka majira fulani tunakunywa dawa za miti shamba za kusafisha tumbo.
Naam...kusafisha tumbo manake...
Yanga watafungiwa kucheza mechi bila washabiki uwanjani kwa kosa hilo wewe mshabiki wa Simba huyo mshabiki ni wa hovyo sana pia inawezekana akawa mshabiki wa Simba alievaa jezi ya Yanga inatakiwa...
Baada ya kumlipa pesa yake ya miezi 6,pamoja na hela za taka na maji..
Naona amenikasirikia sana,
Huwa anajaribu kujenga mazoea na mm ila namkwepa.
Kajaribu mara kibao sana nimkope hela, ila na...
Hiππ
Baada ya kukaa karibia miezi 5 sijakanyaga Kanisa. Last Sunday nilienda. Kuacha tabia uliyoizowea ni ngumu sana aisee.
Binafsi kwa kipindi hiko nilikua naona kuna kitu kimepungua mwilini so...
Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?
Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa...
π 12 SEPTEMBER 2026
π¬π§ PREMIER LEAGUE
β½ Aston Villa 1β2 Nottingham Forest
β½ Bournemouth 2β2 Brentford
β½ Chelsea 2β2 Hull City
β½ Crystal Palace 2β3 Ipswich Town
β½ Liverpool 0β0 Fulham
β½...
UNAPODATE MWANAMKE AMBAYE NI ASSET KWENYE MAISHA YAKO ,
Utakuwa unapata message za aina hizi. ππ
(1) Habari za asubuhi mpenzi. Nafurahi ulilala salama. Ukoje leo? Amka ujiandae kwenda kazini...
Nikitazama na kusikiliza maelezo ya wabunifu wa hayo majiko naona yanafaida pia nishati yake ni garama nafuu mno kuliko gesi,umeme sasa mbona kama yanafumbiwa macho au yana athari?
Mgomo wa kufunga maduka katika baadhi ya Mitaa ya soko la Tandika Temeke mkoani Dar es Salaam, umeendelea kwa kipinga kuwekwa kwa meza za machinga mbele ya maduka yao kwa madai ya kuwa utaratibu...
Hapo vip!
Binafsi naheshimu na kuamini dini zote zinazomtambua na kumuamini Mungu.
Ila binafsi nimejikuta mimi ni mkristo na naamini nipo eneo au katika imani sahihi na ya kweli pasina shaka...
Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo...
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu...
Wanabodi,
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetaniγ
Sio mara moja au mbili, umewahi kusikia mtu akitendewa jambo baya...
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mobhare Matinyi, Septemba 7, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo...
Katika hii dunia ambayo walio top ya foodchain ni fisi tena fisi wenyewe wana hurka ya kula mnyama akiwa hai, yaani hawa kabi kwanza shingo ufe, unaanza kuliwa huku ukishuhudia.
Ndoto za watu...
πKUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA.
Na Bwanku M Bwanku.
Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye...